afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,210
Wakunituma nani?!Punguza mbwembwe.
huna cha maana...
mfa maji tu wewe.
Wakunituma nani?!Punguza mbwembwe.
Saint Ivuga,mi mzima sana .....i need your feva ...si unajua kuwa Simba amechukua kombe? ...ok tutaongea badae .
MziziMkavu
afrodenzi
Hakuna kitu kizuri kama kuweka tabasamu usoni mwa mtu .
leo hii umewaka tabasamu usoni mwangu , kila niendapo
au nipitapo ntaweka tabasamu hilo nyusoni mwa wengi.
kwa vile we ndo mwanzilishi wa hili tabasamu ambalo
litawapata wengi, ningependa kuweka tabasamu
usoni mwako .asante sana be blessed.
Afrodenzi..
@HYGEIA Nakutania Mkuu usijali mpe tu Pongezi afrodenziMziziMkavu
Yaani rafiki yako akifanya jambo zuri hutaki apongezwe? Ni kumpongeza tu, usipate presha (na hata ukipata presha dawa unazo!)