AFRIKA.

AFRIKA.

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
4,452
Reaction score
5,669
Tuanze mwanzo, Afrika ni nini?

Land of pleasant, watu ambao ni easy going. Wanakaribisha wageni.

Watu wa kale. Kabisa.

Jina la asili ya Afrika ni Kemet, nchi ya weusi, udongo mweusi watu weusi.

Afrika ni chimbuko la binadamu ustaarabu wote duniani umeanzia hapa nyumbani.

Hii mada itatufundisha na kufafanua kila kitu.

Kurekebisha, kufafanua, kusahiisha historia.
 
Mtu wa kwanza alizaliwa Afrika Olduvai Gorge. Alikuwa ladba Mmasai.

Miaka milioni mbili ilyopita.

Wamasai wanaishi na Wanyama wengine porini bila ugumu wowote, wanaishi na Simba, Fisi. Tiger, nyoka wa aina zote.
 
Kila kitu kimeanzia Afrika dini, historia, ujenzi, vitabu, busara, hekima.

Tumesahau historia yetu.
 
Kinachoniumizaga kichwa! Ni chimbuko la Neno Firika! Hadi Leo sijui kwanini lilifanana na Jina la Afrika!

Bakita walitakiwa kutoa ufafanuzi!

Michezo ya hovyo ilitokea huko ulaya! Kwanini iwe na jina linalofanana na afrika?
Bora hata kitendo hiko kingeitwa U.S.AMBU style
 
Ustaraabu wote mara nyingi na ni rahisi kutoka juu kuja chini. Lake Victoria ,mlima Kilimanjaro uko juu.
 
Kinachoniumizaga kichwa! Ni chimbuko la Neno Firika! Hadi Leo sijui kwanini lilifanana na Jina la Afrika!

Bakwata walitakiwa kutoa ufafanuzi!

Michezo ya hovyo ilitokea huko ulaya! Kwanini iwe na jina linalofanana na afrika?
Bora hata kitendo hiko kingeitwa U.S.AMBU style

Sababu vitu vingi maneno mengi tumepewa. Hatuna muda wa kufikiri, kuandika, kupanga, na kutunga maneno yetu.
 
Mtu wa kwanza alizaliwa Afrika Olduvai Gorge. Alikuwa ladba Mmasai.

Miaka milioni mbili ilyopita.

Wamasai wanaishi na Wanyama wengine porini bila ugumu wowote, wanaishi na Simba, Fisi. Tiger, nyoka wa aina zote.
Mtu wa kwanza au mtu wa kale?
 
Kinachoniumizaga kichwa! Ni chimbuko la Neno Firika! Hadi Leo sijui kwanini lilifanana na Jina la Afrika!

Bakwata walitakiwa kutoa ufafanuzi!

Michezo ya hovyo ilitokea huko ulaya! Kwanini iwe na jina linalofanana na afrika?
Bora hata kitendo hiko kingeitwa U.S.AMBU style
Neno firika Lina mahana gani mkuu?
 
Upo sawa, nitaleta ushahidi wa kutosha. Itachukua muda hadi miaka miwili sababu muda.
 
Tuanzie hapa zile pyramids. Zilijengwa na babu zetu
udini zote zilianzia hapa.

Ethiopia Greek maana yake ni weusi, Sudan, jina la kirarabu waliita nchi ya Weusi.
 
Jews, Hebrews walienda Misri sababu ya njaa. Walikuwa watumwa, ila Weusi waliwaheshimu na kuwa treat as brothers.

Dini zote zimetokea hapa Afrika. Israel walikuwa watumwa wakaondoka Afrika na ustaarabu, dini, culture, technology.

Wote walisoma Afrika, Yesu, alienda pale, Muhamad alipata ukipimbizi Ethiopia.
 
Dini zote ustaràabu wote umeanzia kwetu. Hapa juu Kanda ya ziwa. Ùganda kenya ukashuka chini, down to Med, Europe, duniani.
 
BAKITA au BAKWATA ?
Kinachoniumizaga kichwa! Ni chimbuko la Neno Firika! Hadi Leo sijui kwanini lilifanana na Jina la Afrika!

Bakwata walitakiwa kutoa ufafanuzi!

Michezo ya hovyo ilitokea huko ulaya! Kwanini iwe na jina linalofanana na afrika?
Bora hata kitendo hiko kingeitwa U.S.AMBU style
 
Tuanze mwanzo, Afrika ni nini?

Land of pleasant, watu ambao ni easy going. Wanakaribisha wageni.

Watu wa kale. Kabisa.

Jina la asili ya Afrika ni Kemet, nchi ya weusi, udongo mweusi watu weusi.

Afrika ni chimbuko la binadamu ustaarabu wote duniani umeanzia hapa nyumbani.

Hii mada itatufundisha na kufafanua kila kitu.

Kurekebisha, kufafanua, kusahiisha historia.
Waafrika uvivu wa kuandika na kutotunza vya kwetu tulianza zamani sana
 
Mtu wa kwanza alizaliwa Afrika Olduvai Gorge. Alikuwa ladba Mmasai.

Miaka milioni mbili ilyopita.

Wamasai wanaishi na Wanyama wengine porini bila ugumu wowote, wanaishi na Simba, Fisi. Tiger, nyoka wa aina zote.
Kwenye tiger umeupiga mwingi na Kama Mama Samia
 
Back
Top Bottom