Afrika yote hatuelewi maana ya "Productivity"

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Ukiondoa nchi ya AK labda na Mauritius Nchi zote zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara hatuelewi maana ya ,,productivity" vinginevyo tusingekuwa na upungufu wa Sukari na ni wote!
Naishauri Serikali yetu ianzishe kozi maalum kuhusu productivity tufundishwe kuanzia cheke chea mpaka Chuo Kikuu, kwani matatizo yetu yote ya Kiuchumi Afrika yanasababishwa na kutokuelewa maana ya productivity ...
 
Back
Top Bottom