Ukiangalia haya maisha yetu toka tangu na tangu utaona Kuna madaraja ya tofauti za kimaisha kwa maana ya kuanzia matajiri hadi ombaomba,hii hali ipo toka enzi hadi sasa.
Laiti kungekuwa na kanuni ya kufanikiwa kimaisha kwamba ukifuata hiyo kanuni lazima ufanikiwe basi naamini hadi leo hii kusingekuwa na masikini. Hivyo ikiwa kwenye kufanikiwa kwa maisha ya mtu mmoja mmoja tu hali iko hivyo,je unafikiri huu umasikini wa waafrika ndiyo tutakuwa na majibu yake?
Ni kweli mnataka kusema Kuna sababu zenye mantiki ambazo zinafanya afrika iwe hivi ilivyo?