Afrika tuige siasa kama hizi

Afrika tuige siasa kama hizi

Baraka21

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
1,262
Reaction score
3,191
IMG_20211120_173515_968.JPG
 
Mzee wa vita ya uchumi huku betri inachajiwa kwenye vita ya uchumi.
Huku umesahau wakati unawekewa waliokuwa madarakani waliwaheshimu.
 
Kikwete ana sifa moja yakukubali kuchambuliwa halafu hakujibu kama Ayoub.
Magufuli alikuwa na tabia za Kinyonga,anabadilika kulingana na mazingira.

1.Akiwa na wanyonge "IKULU NIMEKUTA MAMBO YA OVYOOVYO"Mimi ndiyo Rais najua siri zote.
2.Akiwa na Marais wastaafu " NINYI NDIO MMENILEA KAMATENI HAWA TAUSI WALA HAMKUWALA"
3.WATU WALIKUWA WANAPISHANA ANGANI yeye Akiwa mikononi mwao.
 
Hatuna uthubutu huo, zaidi tunautanguliza uoga na ubinafsi
Ndiyo maana kila kukicha utasikia wanaimba nyimbi za ugaidi kumbe ni kichaka cha kuficha madhaifu yao ya waliingije pale walipo.
 
Back
Top Bottom