Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 798
- 865
Duh! Sasa hii inahusiana nini na hayo mkuu. Au hujui mauaji yanayoendelea huko Afrika ya Kusini?Jiwe alikuwa na timu smart sana ya mtandaoni, nyie timu ya mama mnamuangusha mama yenu, mnapwaya sana katika propaganda na kufanya mashambulizi.
Lala sasa, kama posho nadhani imeshatoka unless kama umeshaanza siku mpya kama mida inavyosoma."Heela! Itafakari nchi inayoinua mkono na kumwaga damu ya Mwafrika mwenzake, kwa kisingizio dhaifu kuwa mgeni anachuma matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa kuituliza. Ni fedheha kuona ubaguzi ukigeuzwa kuwa vazi la sifa.
Afrika Kusini imevaa kilemba cha ujinga kilichofunika macho ya utu wao. Sisi tubaki tukiipenda Tanzania yetu kwa dhati; tuache majivuno ya dharau yanayotokana na kutembea miji ya ughaibuni. Huko mlikokuwa mkibeba maboksi na kufanya kazi za suluba kwa wakoloni. Inasikitisha unaporejea nyumbani na kumwaga maneno ya hovyo, ukiwa umening'iniza hereni masikioni kama ndama aliyepotea zizini." — Alloyce, P.R.
Usijizime data mkuu...Kama kubeba maboksi ughaibuni ni utumwa, mbona foleni za kuomba Visa kwenye balozi za hao wakoloni haziishi?
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra."Heela! Itafakari nchi inayoinua mkono na kumwaga damu ya Mwafrika mwenzake, kwa kisingizio dhaifu kuwa mgeni anachuma matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa kuituliza. Ni fedheha kuona ubaguzi ukigeuzwa kuwa vazi la sifa.
Afrika Kusini imevaa kilemba cha ujinga kilichofunika macho ya utu wao. Sisi tubaki tukiipenda Tanzania yetu kwa dhati; tuache majivuno ya dharau yanayotokana na kutembea miji ya ughaibuni. Huko mlikokuwa mkibeba maboksi na kufanya kazi za suluba kwa wakoloni. Inasikitisha unaporejea nyumbani na kumwaga maneno ya hovyo, ukiwa umening'iniza hereni masikioni kama ndama aliyepotea zizini." — Alloyce, P.R.
Kidogo nikubaliane nawe, lakini nikastuka nilipowakumbuka USSR; Magonjwa mtambuka; stroke, Tumaineli na wengi wa aina hiyo!Jiwe alikuwa na timu smart sana ya mtandaoni, nyie timu ya mama mnamuangusha mama yenu, mnapwaya sana katika propaganda na kufanya mashambulizi.
Jiwe ilikuwa nusu ya machawa wake wana akili na nusu hawana akili. Kwa huyu mama machawa karibia wote ni vichwa Tikiti, huwezi kusema kuna mwenye afadhali, huyo USSR na Magonjwa wao ni mojawapo ya wale askari wa mtandao waolirukia upande wa mama kwa miguu yote kabla hata matanga hayajaanuliwa.Kidogo nikubaliane nawe, lakini nikastuka nilipowakumbuka USSR; Magonjwa mtambuka; stroke, Tumaineli na wengi wa aina hiyo!
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.
Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.
Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!
Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?
Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?
Haya ni mawazo ya namna gani haya!

Udhaifu wa fikra.Kama kubeba maboksi ughaibuni ni utumwa, mbona foleni za kuomba Visa kwenye balozi za hao wakoloni haziishi?