Afrika Magharibi itaungana na mataifa ya Ulaya kupinga Waafrika wenzake

name 97

JF-Expert Member
Apr 1, 2023
200
540
Kwaiyo katika mgogoro wa huko west Africa, Africans will unit with EU to fight against their fellow africans.

Naomba wataalamu wa international politics mnisaidie hizi communities,particulary african communities.eg.

Au, EAC, SADC, ECOWAS zipo kwaajili ya nani.

kama ni kwaajili ya democracy, mbona wakati demokrasia inavunjwa na viongozi hizi communities hazionekani kuitetea hiyo democrasia.

kama zipo kwajili ya kukutea democrasia mbona hatuoni madikteta kama wakina museni,kagame, wakichukuliwa hatua yoyote kwa uvunjaji wa demokrasia?

Leo hii wanaija wameamua kuijenga nchi yao,hizi communities zinakuja juu.

Hii leo member states wa ECOWAS wanatoa nchi zao kama base,kuwapiga Waafrika wenzao.naona kama sio sahihi
 
Back
Top Bottom