Na bado ( in Kingwendu voice)Hamas ndio walioanzisha uchokozi October 7. Wamepelekewa moto sasa wanalia lia
Njia pekee ni nyie kwenda vitani Gaza na sio kutoa matamko. Wapelestina mnaowatetea wameua ndugu zetu wawili tena kwa ukatili mkubwa mno. Hata hiyo mufti AKIENDA Palestine watamchinja tuView attachment 2861157Maneno ya Mstahiwa Mufti Mkuu wa Usultani wa Oman Sh. Ahmed Al khalili, kuhusu Africa ya Kusini, Allah amuhifadhi.
Mods naomba uzi huu msiuhamishe wala kuufuta, Waislamu tunapitia wakati mgumu sana kwenye hii forum.
Wewe una ndugu acha kupigia watu keleleNjia pekee ni nyie kwenda vitani Gaza na sio kutoa matamko. Wapelestina mnaowatetea wameua ndugu zetu wawili tena kwa ukatili mkubwa mno. Hata hiyo mufti AKIENDA Palestine watamchinja tu
Yaani kuwa mod tu ungekua na jazba namna hioMimi ningekuwa sehemu ya mods.. ningeufuta huu uzi kabisa kwa sababu unawatuhumu mods kwamba wanaubaguzi kati ya posts za wakristo au watu wa dini zingine na waislamu, kwamba mods wanafuta sana post za wafuasi wa dini ya kiislamu. Hii ni tuhuma mbaya sana mods waliangalie hili. Au wakusamehe na usirudie tena kutaka kutugawa wakati kila siku tunajadiliana na waislamu wanaotuma post zao humu kama akina Alwaz, Malaria 2, nk.
Hivi kwa nini hakuna hata nchi moja ya Kiarab/Kiislam iliyoweza kuwa na ujasiri kama wa RSA? Ina maana wote wanaiogopa Israel?View attachment 2861157Maneno ya Mstahiwa Mufti Mkuu wa Usultani wa Oman Sh. Ahmed Al khalili, kuhusu Africa ya Kusini, Allah amuhifadhi.
Mods naomba uzi huu msiuhamishe wala kuufuta, Waislamu tunapitia wakati mgumu sana kwenye hii forum.
Hili suala la SA kuipeleka Israeli ICC linamnyima nini zaidi ya Walebanoni kuwapeleka Israel ICC wenye udugu wa karibu zaidi na hao anaodhani wanaonewa huku akisahau kabisa aliyenzisha hizo fujo kuwa ndio Hamasi??
Kama mnaleta nyuzi za kigaidi kwanini zisifutwe waislamu wangapi wameanzisha nyuzi kulaani mauaji ya Joshua na Clemence
Tena wengine walifurahia hayo mauaji
Ningekuwa mods Janjaweed wote mngekula ban.
Kumbe HAMAS wanaogopa kufa, sasa kwanini walianzisha vurugu October 7?View attachment 2861157Maneno ya Mstahiwa Mufti Mkuu wa Usultani wa Oman Sh. Ahmed Al khalili, kuhusu Africa ya Kusini, Allah amuhifadhi.
Mods naomba uzi huu msiuhamishe wala kuufuta