Afrika Kusini niijuavyo mimi

Mkuu endelea kidogo inavutia sana...endelea kidogo mwisho wako ulikuaje huko Kwa Madiba
 
Wachina wanauliwa tena sana tu nimechoma moto wachina wasiopungua wane waliouliwa huko... Kuna majiji hakuna hizo shida
Matatizo yako Jo'burg Cape na Durban na Pretoria kidogo tena baadhi ya mitaa..
Kule kwenye virugu mechi kama hillbrow ndio fujo hutokea na mauaji ni jambo la kawaida kabisa
 
Miaka iyo iyo ndio aliyoishi Mwananyamala, temeke, ubungo kibo, manzese na sehemu nyingine. Wewe mshana jr. Unakumbuka uzi wako wa miaka iyo uliishi sehemu izo
Naukumbuka vizuri sana... Kama umeufuatilia vizuri story za bongo nimesimulia miaka ya kuanzia 90-96 halafu nikaendelea kuanzia 2001
 
Kingine South Africa uadilifu ni Zero nchi zetu hizi angalau kuna chembechembe za uadilifu, ila SA hakuna kabisa kuanzia raia wa kawaida, kiongozi hadi polisi. Polisi wanawaogopa sana watu wake nani atamfunga paka kengele?

Hebu tujiulize sheria zao za uhamiaji zikoje hadi watu waingie watakavyo? Hili limewashinda kabisa ku control for decades. Madawa ndio kabisaa nchi inanuka madawa, polisi ni wala rushwa wakutupwa.
 
Eee
 
Rushwa... Rushwa... Rushwa....
 
Alafu ndo wanavunja magari ya watu wanaiba laptop, ipad na simu. Ukienda pale kinondoni manyanya mtaa wa bm saloon utakuta wapo kibao pale wanauza iPhone, samsung, tablet zilizoibwa south. Na ukikosa unaambiwa subiri kuna mzigo unaingia toka south wikiendi.
 
A failed state ndio huruhuru watu kuja kwenye nchi zao ki holela.
 
Tunaongea kama ni nchi haina jeshi la polisi au immigration. US wana homeland security na CBP yani huko SA watu wana pita tu alafu wakisha chukua kazi zao wauliwe. Nchi kama hiyo ni failed state
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…