Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,906
- 20,785
Hivi unakataje rufaa kabla ya hukumu.Rufaa against what.Maana you appeal against a ruling.Duh,this happens only with Hermanus Steyn.Hiyo rufaa alikata jana kabla ya uamuzi, these guys are bogus, mahakama haiwezi ku-deal na watu bogus, kesi zote mbili kashindwa ameambiwa aje kushitaki kwenye mahakama za bongo.