Afrika Kusini: Mahakama ya Gauteng yaamuru ndege ya Air Tanzania iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa. Hermanus Steyn akata rufaa

Hiyo rufaa alikata jana kabla ya uamuzi, these guys are bogus, mahakama haiwezi ku-deal na watu bogus, kesi zote mbili kashindwa ameambiwa aje kushitaki kwenye mahakama za bongo.
Hivi unakataje rufaa kabla ya hukumu.Rufaa against what.Maana you appeal against a ruling.Duh,this happens only with Hermanus Steyn.
 
Naona hii biashara ya ATCL itakua ngumu sana. Watu wataanza kujikamatia mandege yetu kila yanapotua na kutuletea shida.
Pia sasa itakua ngumu watu kupanda ndege za ATCL wakihofia kudukuliwa mawasiliano yao.
Nilisikia tunaanzisha route za India na UK, tutapona kweli huko? Hakuma watu wa miga wanaotudai?
Kweli mbuzi wa masikini hazai.
shirika lenyewe sio reliable kwaiyo abiria lazima wahaitishiwe safari
 
Hapa ni sawa na kushukuru kupewa dhamana kwa kosa linalodhaminika wakati ni haki ndani ya sheria.
Mwenendo wa kesi ndio jambo la msingi, tusidhani mkulima kapigwa faini,atatoa hela za kuendeshea kesi siku akinda tutapotana maana sheria ikikufurahisha ww jua kuna mwenzio kaumia
Mwosha huoshwa
 
Hizi chuki kazileta jiwe wala msifumbie macho chanzo cha tatizo, hapo ni matunda tu ya huo mti wa chuki alioupanda.
å Itaenda na kutua tu kama show-off ya kuonesha kuwa Jiwe yuko ngangari, kichwa ngumu au pipa litakuwa na mzigo/abiria?

å Kwa jinsi safari za ATCL zilivyo unpredictable, mtapata abiria wa maana na wenye kujali kweli....??

å Ama kama onesho la kusheherekea ushindi na ili kumfurahisha Mfalme Juha itabidi "Lumumba Green team" ipate ofa ya kwenda OT na baada ya hapo inafichwa na kupaki Zanzibar....?

å Nauliza na kushangaa kwa sbb kwa utawala huu wa Mr Misifa, kila kitu kinaweza kufanywa tu na Praise Team (PT) ili mradi mfalme Juha akenue meno....!!
Kinamshangaza nini wakati serikali anayoitumikia hapa inabambikizia watu isiowapenda kesi kila siku na wakiachiwa wanakamatwa tena hapo hapo? au mtenda akitendewa hujihisi kaonewa?
Sina haja ya kumuelewa sana sana namuona analilia kwa mambo ambayo huwa anayaona sawa yakitendwa na serikali yake hapa nyumbani.

maelezo sawia juu ya hayo juu yte ni hili chini
Wamepanic vibaya sana. Hawa jamaa wanachuki mbaya sana.
 
Soma Hukumu hapa => HukumuSA-ATCL.pdf

Maamuzi kuhusu ndege yetu inayoshikiliwa nchini Afrika Kusini kujulikana leo. Maamuzi hayo yanatarajiwa kutolewa na Mahakama huko Afrika Kusini.

***UPDATES***

Mahakama ya Gauteng ya nchini Afrika Kusini imeamuru ndege ya Air Tanzania (ATCL) Airbus A220-300 iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa.

Mahakama hiyo pia imeamuru kwamba mlalamikaji alipe gharama za kesi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt Damas Ndumbaro aliyekuwepo mahakamani amesema kuwa Tanzania imeridhishwa na uamuzi wa Mahakama.

Dk Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania imeshinda kesi hiyo bila kutoa fedha yoyote ambayo aliyetushitaki alitaka Serikali ya Tanzania tuweke fedha kama dhamana dola milioni 33.

“Tumeshinda na ndege imeruhusu kuondoka. Kwa sasa hakuna kesi yoyote.”

“Sisi tulivyokuwa tunatukanwa kwenye mitandao tulikuwa tunaangalia tu, tulikuwa tunajua kazi tunayoifanya. Lazima ujue huku zimekuja PhD tatu,”

*****
Johannesburg. The Gauteng Lower Division Court, Johannesburg has today September 4, ordered the release of an ATCL plane- Airbus A220-300 which was impounded on August 23 following a court order which was obtained by Hermanus Steyn .

In the ruling the court has also ordered the first respondent to pay the costs.

Tanzania’s deputy Foreign minister Damas Ndumbaro who was present at the ruling said he was happy with the court’s judgment to release the plane.

He described the farmer’s litigation attempt as evil.

*****

HERMANUS STEYN AKATA RUFAA BAADA YA KUTORIDHISHWA NA MAAMUZI YA MAHAKAMA

Baada ya Mahakama ya Gauteng Afrika Kusini kuamuru ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) iachiwe, Mkulima ambaye alipeleka shauri hilo, Hermanus Steyn amekata rufaa kwa madai ya kutoridhishwa na hukumu hiyo

Shauri hilo linatarajiwa kuanza kusikilizwa leo

*
Alipe na hasara aliyolisababishia ATCL
 
Pathetic kabisa!
Vijana wa UVCCM waliandamana kutafuta nini ubalozi wa SA?
 
Kwani tunadaiwa ngapi hapo? Natumaini umeiona report ya Moody's siku tatu zilizopita.
Moody's waseme mazuri tu, wakisema mabaya mabeberu wanaotumika katika vita vya kiuchumi.

Government of Tanzania - B1 Negative: Update following rating ... Moody'saffirms Tanzania's B1 ratings; maintains negative outlook.

Vizuri mkuu..hivi title inasomekaje maana nimeitafuta kwenye website ya high court SA sijafanikiwa
IMG_20190905_002045.jpg
 
Back
Top Bottom