Afrika Kusini: Mahakama ya Gauteng yaamuru ndege ya Air Tanzania iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa. Hermanus Steyn akata rufaa

Ushindi wa makonda na Lemutuz, sisi huku kwetu hata ambulance hamna ,Mambo ya mabawa tunajuaje
 
Haujui nani aliye NYUMA ya MAYAGI MULAGA? MULAGA kila siku anabashiri mara anayetumia Account ya Kigogo Marehemu Glory,Mara Mme wake Nchimbi,mara fulani,mlimkata zitto mkachukua simu,laptop lakin kigogo bado anapost tu,mkamteka Raphael lakini kigogo bado anapost tu, mkamteka msaidizi wa membe lakini CHUMA kigogo bado kipo 24/7 Twitter,sasa mmebaki kwenda kimya kimya tu mmedondokea PUA.
Na kigogo yuko nyuma ya nani?
 
Magufulication na Serikali yake waache longolongo. Dawa ni kulipa deni na kumalizana na Mkulima wa kizungu Bwana Steyn. Huyu mkulima kimsingi ana haki zake maana aliwekeza Tanzania kwa mabilioni lakini manyang'au wa CCM wakamdhulumu na tayari ameshakata rifaa hivo bado ngoma mbichi...!!!. Nina wasiwasi sana na huyu Mnyantuzu Ntemi Chenge katika hili maana nasikia ndiye alisimamia katika dhulumati ya mkulima huyu. Lipeni deni kesi iishe.
 
Magufulication na Serikali yake waache longolongo. Dawa ni kulipa deni na kumalizana na Mkulima wa kizungu Bwana Steyn. Huyu mkulima kimsingi ana haki zake maana aliwekeza Tanzania kwa mabilioni lakini manyang'au wa CCM wakamdhulumu na tayari ameshakata rifaa hivo bado ngoma mbichi...!!!. Nina wasiwasi sana na huyu Mnyantuzu Ntemi Chenge katika hili maana nasikia ndiye alisimamia katika dhulumati ya mkulima huyu. Lipeni deni kesi iishe.
Kwa taarifa yako,jioni hii mahakama imesema haina uwezo wa kusikiliza maombi hayo. Kama kuna lolote aende mahakama za Tanzania
 
Nyinyi wote mnaoongea habari ya ndege, ni wangapi walishafika hata Airport yoyote kuona hayo madege yanavyotua? Tunadanganyana na wale walioshika mabango eti tunataka ndege yetu, hawajui hata ndani kukoje!!!!! Badala ya kuomba turudishiwe dawa za ukimwi na kupewa madawati, mnakazania mapipa.
 
Taarifa kwamba serikali imeshinda kesi kwenye mahakama ya Afrika kusini dhidi ya zuio la ndege ya ATCL ni za faraja na za kupongezwa ns Watanzania wote. Hongera JPM, Hongera serikali yako na waandamizi wote walioshiriki katika kutuletea ushindi huu. Sisi kama Taifa, linapokuja jambo la kuhatarisha maslahi ya Taifa yetu ni vyema kuungana sote pasipo kujali tofauti za kiitikadi, jinsi, hadhi, vyama, kabila au dini. Katika mitandao yalisemwa mengi na wapo waliotamani tushindwe hiyo kesi au ndege yetu iuzwe. Huo ni mtazamo hasi. Athari zozote za kiuchumi, kisiasa au kijamii zina madhara kwa watanzania wote maana serikali huitaji rasilimali ili kutupatia huduma za afya, Elimu, Ulinzi na miundo mbinu. Serikali ikipata hasara, madhara yake ni kwa watanzania wote. Tuungane, tupebdane kwa maslahi ya Taifa na Ustawi wetu sote. Hongera JPM, Hongera Serikali, Hongera Team Ushindi iliyotumwa Afrika Kusini. Tanzania kwanza

Usituchanganye watanzania wote maana sio watanzania wote wanapatiwa haki chini ya utawala huu. Ni vyema mkaungana nyie mnaofadika na huu utawala wa manyanyaso kwa wapinzani. Wengine sisi hatuna muda wa kuungana na mabazazi na wakati wa matatizo kama haya kwetu ndio fursa ya kuwaambia hatuna umoja wowote na wakandamizaji.
 
Ww ndio ulikuwa unateseka ilipokamatwa maana hiyo ndege umeaminishwa ni ya kwako. Halafu mimi sio mwanaume wa kawaida ni basha wa ukweli na ninamiliki mashoga kama watatu huko Mwananyamala, hata ww kama basha wako kakuchoka niko tayari kufunga pingu za maisha na ww. Sema tu mahari yako ni kiasi gani na nimpelekee msenge gani kama kishika uchumba.

Sasa hii ndio maana yake nini?
Kuonyesha jinsi ulivyo bonge la MJANJA?
 
Mashine ipo njiani inarudi nyumbani. Watashindana lakini hawataweza.

TC209.jpg


Source: Flightradar24

Air Tanzania TC 209.jpg
 
Soma Hukumu hapa => HukumuSA-ATCL.pdf


Maamuzi kuhusu ndege yetu inayoshikiliwa nchini Afrika Kusini kujulikana leo. Maamuzi hayo yanatarajiwa kutolewa na Mahakama huko Afrika Kusini.

***UPDATES***

Mahakama ya Gauteng ya nchini Afrika Kusini imeamuru ndege ya Air Tanzania (ATCL) Airbus A220-300 iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa.

Mahakama hiyo pia imeamuru kwamba mlalamikaji alipe gharama za kesi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt Damas Ndumbaro aliyekuwepo mahakamani amesema kuwa Tanzania imeridhishwa na uamuzi wa Mahakama.

Dk Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania imeshinda kesi hiyo bila kutoa fedha yoyote ambayo aliyetushitaki alitaka Serikali ya Tanzania tuweke fedha kama dhamana dola milioni 33.

“Tumeshinda na ndege imeruhusu kuondoka. Kwa sasa hakuna kesi yoyote.”

“Sisi tulivyokuwa tunatukanwa kwenye mitandao tulikuwa tunaangalia tu, tulikuwa tunajua kazi tunayoifanya. Lazima ujue huku zimekuja PhD tatu,”


*****
Johannesburg. The Gauteng Lower Division Court, Johannesburg has today September 4, ordered the release of an ATCL plane- Airbus A220-300 which was impounded on August 23 following a court order which was obtained by Hermanus Steyn .

In the ruling the court has also ordered the first respondent to pay the costs.

Tanzania’s deputy Foreign minister Damas Ndumbaro who was present at the ruling said he was happy with the court’s judgment to release the plane.

He described the farmer’s litigation attempt as evil.



*****

HERMANUS STEYN AKATA RUFAA BAADA YA KUTORIDHISHWA NA MAAMUZI YA MAHAKAMA


Baada ya Mahakama ya Gauteng Afrika Kusini kuamuru ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) iachiwe, Mkulima ambaye alipeleka shauri hilo, Hermanus Steyn amekata rufaa kwa madai ya kutoridhishwa na hukumu hiyo

Shauri hilo linatarajiwa kuanza kusikilizwa leo


*


Mahakama za wenzetu zilizo huru huanza kusikiliza shauri leo. Yaani leo leo kabla ya yule jamaa hajaapishwa.

Karibu kwetu ambako milango ipo ila watu wanapita madirishani.
 
Back
Top Bottom