Afrika Kusini hakuna matata

Afrika Kusini hakuna matata

suka chile

Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
99
Reaction score
38
fashion in south.jpg
 
Hizo sura si wanachuo au unataka kutuambia ni sekondari au msingi kabisa? Vyuoni hata hapa bongo hivyo unasoma
 
Huko ni kutetea viherehere. Unajua kiasi cha uambukizi wa vvu huko? Natamani tuanzishe elimu nyingine kuwadhibiti hawa wetu. Hakuna uchungu ninao upata ka kumsikia mtu anayetamani wamama wawaache watoto wachanga nyumbani na kwenda kwenye masomo ambayo hakuyathamini.
Tujiulize, alibakwa au katoa mwenyewe? Kama aliridhia, ni nini kitamnyima kuendeleza mchezo wake huo?? Mtaleta taifa la mitaani very soon. Tupige vita mimba za utotoni. Mtoto asilelee mwanaye.
 
Hao ni wanachuo wala sio secondary coz hata bongo wanachuo wanasoma na hiyo mambo
 
khaa, haya ndio majibu ya viherehere.....
 
Ngoja Chadema wachukue nchi, moja ya jambo waliloahidi
 
Harufu huwa ni harufu tu ! Chadema na hawa madem wapi na wapi? Harufu ina raha na karaha zake kutegemeana na harufu ya nini? Poa harufu!
Mkuu naona umeninukuu vibaya, sina lengo baya wala nia mbaya na chama cha mtu, ni ahadi tuliopewa na Chadema inabidi tuwaheshimu kwa ahadi walioitoa iwapo watachukua nchi 2015 na Elimu itakuwa bure hakuna kulipia karo
 
Back
Top Bottom