Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,721
ππππππππππππππ umenena vyema mwanangu kongoleMama atatoboa vizuri tu.
ππππππππππππππ umenena vyema mwanangu kongoleMama atatoboa vizuri tu.
AuzikiMama atatoboa vizuri tu.
Nimejikuta nachekaLabda atoboe sufuria
Wewe tuandikie UKWELI....ππππwe mtu umeandika uwongo sana.
Mkuu Environmental Security , kwanza nikupongeze kwa mada hii fikirishi, JF ilivyoanzishwa ndio ilikuwa imelenga watu wa type yako, wanaojua kujenga hoja.Tanzania pia, Rais aliyekuwepo alifariki akiwa madarakani, hivyo kupelekea makamu wake kuongoza nchi akiwa ndiye Rais kwa mujibu wa katiba.
Swali ni he! Historia itaendelea kuandikwa Africa kama ilivyokwisha tokea kwa mataifa wenzetu au context ya Tanzania ni tofauti kabisa na hao, au tusubiri wakati ufike..!!??
Karibuni.
Labda anyang'anye tu.Mama atatoboa vizuri tu.
Ujui chochote kuhusu kanuni ya asili ifanyavyo Kazi.Ccm itakufa 2025 kuwe na katiba mpya kusiwepo wananchi wakiikataa hawana pa kushika pili hawana mtu anaeuzika kwa watz.Hata magu bila police asipenya.Maswali mengine unauliza huku tayari ukiwa unajua jibu.
Huko kote ulikojitahidi kupaelezea, walikuwepo CCM?
Sasa ya nini upoteze muda mwingi kutafuta jibu lililo wazi.
Ukitaka kuilinganisha Tanzania na nchi hizo, ni lazima utafute njia za kuidhibiti CCM, vinginevyo unapoteza tu muda wako.
Uwepo wa CCM, maana yake ni kwamba hakuna uchaguzi wowote huru unaoweza kufanyika ndani ya nchi hii, na bila ya kuwepo haki kwenye uchaguzi, jibu sahihi ni kwamba CCM hawawezi kutoka madarakani waTanzania watake au wasitake. Maana ya hii ni kwamba, bila wananchi kukataa kura zao zisichezewe, ni CCM pekee ndio wanaoweza kutawala nchi hii. Hakuna wa kuwaondoa.
Hivi bado hujamsoma 'Maza Mizinguo'? Huoni kabisa kwamba amekwishaanza kampeni za kuendelea kuwepo madarakani, akiwa na uhakika huo kwa kujua kwamba mbinu zote zinazotumika miaka yote anazitumia. Angalia vizuri, kama hujamsoma kuhusu hilo.
Kama Magu alitumia polisi sasa kinashindikana nini na safari hii hao polisi kutumika tena? kipi kimebadilika hadi tutarajie matokeo matokeo tofauti?Ujui chochote kuhusu kanuni ya asili ifanyavyo Kazi.Ccm itakufa 2025 kuwe na katiba mpya kusiwepo wananchi wakiikataa hawana pa kushika pili hawana mtu anaeuzika kwa watz.Hata magu bila police asipenya.
Ccm ilishakufa inapumua kwa nguvu ya police.
Hili ndilo jibu, mengine ni porojo tuInteresting. Time will tell.