Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,794
- 4,883
Sakata la ndege yetu ya ATCL ( ambalo nina imani limepoa tu halijaisha, ) tumefanya kusahau tu na kulitoa kwenye midomo na vyombo vya habari kwa kua tuliona na kudhani kurudi na kukatisha safari za bondeni kwa Airbus ndio mwisho wa sakata...
limenifanya nifikilie kesi nyingine kwonge kati ya serikalini ya Nigeria na kampuni ya mabeberu wa ki Irish "Process & Industrial Developments (P&ID) " ambayo mikataba mikataba hii ilinyang'anywa tenda ya kujenga na kuendeleza gas-processing plant kwa sababu Nigeria walidai mkataba na tenda vilipatikana kwa njia ya rushwa(kùmbuka wao ndio vinara wa mlungula afrika)na hawakuweza kufanikiwa katika kufanya kazi husika.
Jamaa wakaona isiwe tabu wakaenda kufungua kesi London ambako kuna assets za nigeria government zikiwemo foreign reserves wakidai walipwe,,,imeenda imeenda kesi ikaamuliwa mahakama ikaamua Process & Industrial Developments (P&ID) walipwe 20% ya total assets za nigeria zilizo UK ambazo ni $9billion..(?kwa madafu yetu ni shitabhalwa).....ingawa Nigeria wamekata rufaa itakayo wagaharimu kama $200 million wanaweza kuchomoka.
All in all Mabeberu sio wa mchezo mchezo nahis washatujua Afrika, wakija mikataba tunaisoma juu juu wanatupiga tukistuka na kuvimba wanatushtaki kwenye mahakama zao....na hivi ndio tunatunzia Mali zetu kwao yaani anytime T wanatunyakaa...
NB: hata bongo kesi similar hizi tulishapigwa huko nyuma
Lesson learnt Message sent.