Afrika kamwe haitosahau ubaguzi huu wa China: China imetukosea sana waafrika

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,521
51,194
Serikali ya China imekanusha kuwa hakuna ubaguzi uliofanyika China dhidi ya waafrika, lakini kama mnavyojua serikali ya China ni mabingwa wa propaganda na uwongo. Video za kunyanyapaa waafrika zinazidi kurushwa na there is no way serikali ya China inaweza kukana kuwa haihusiki kwenye vitendo hivi vya kidhalimu, kinyama na roho mbaya ya kikatili ajabu.
Hapa chini binti wa kiafrika, asiye na madhara yoyote anazuiwa kuingia katika maduka kupata huduma, anazuiwa na walinzi wa kiume wa kichina at the same time anapita mzungu, wanamruhusu. Yule mzungu anajisikia vibaya, naye anaona hii siyo fair kabisa anaamua kuondoka.

Balozi Kairuki bado unawaaminisha Watanzania kuwa hakuna ubaguzi dhidi ya mwafrika huko China?

Tunaitaka serikali yetu ya Tanzania ichukue hatua kusaidia vijana wetu walioko huko, Ikibidi warudishwe nyumbani, Chuki ya wachina dhidi ya waafrika kwa mujibu wa clip hizi haina mfano, wanaweza kuwadhuru vijana wetu huko

HEBU TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI:

Coronavirus: African in Guangzhou, China says 'discrimination' behind 6-day mandatory quarantine
 
Kwa kifupi ni hivi hao wote unaowaonaa mtaani wakizurula niwale wako China kinyume na sheria.

Nikuoashe kidogo kuwa hili tatizo lilianza pale raia moja wa Africa alipowapiga na kuwang'ata madaktari wa China na kutoroka karantini. Tofauti na hiyo pia kuna jamaa pia walitorika karanti hivyo serikali ikatoa picha zao zikasambazwa jimboni note kuwatafuta.

Baada ya hapo serikali ya China nikaamua kuwa waafrica wote wapimwe; kabla hawajawapima waliwaitwa viongozi wao kakininkatika kukubaliana kiongozi wa wanaigeria anasema kama anataka wapime watu wake basi wasiwadai visa. Hili suala lisingewezekana.

Hivyo walipoanza zoezi la kupita nyumba kwa nyumba wale wamiliki wa kichina waliokuwa wanawahifadhi / wamewapangisha waafrika wasio na visa wakaanza kuwatoa majumbani mwao ili usije ikala kwao.

Nadhani nimeeleweka

God save us
 
mwaAfrica anabaguliwa kila sehemu duniani. Not only in China !!. Anabaguliwa hata hapa nyumbani Africa . Ni juu ya mwaAfrica kukataa kubaguliwa na hata wasiofaa kumbagua eg waArabu, waHindi , waChina, waRusia etc. Nimeona makanisa huko America, African Americans wanasali wenyewe bila kichangamana na whites. Russia hali ni ngumu zaidi.

Whites wanapofika kwetu
tunawapa mapokezi ya nguvu. Lakini ni kinyume chake black anapofika kwao.

Odhis *
 
Kwa kifupi ni hivi hao wote unaowaonaa mtaani wakizurula niwale wako China kinyume na sheria.

Nikuoashe kidogo kuwa hili tatizo lilianza pale raia moja wa Africa alipowapiga na kuwang'ata madaktari wa China na kutoroka karantini. Tofauti na hiyo pia kuna jamaa pia walitorika karanti hivyo serikali ikatoa picha zao zikasambazwa jimboni note kuwatafuta.

Baada ya hapo serikali ya China nikaamua kuwa waafrica wote wapimwe; kabla hawajawapima waliwaitwa viongozi wao kakininkatika kukubaliana kiongozi wa wanaigeria anasema kama anataka wapime watu wake basi wasiwadai visa. Hili suala lisingewezekana.

Hivyo walipoanza zoezi la kupita nyumba kwa nyumba wale wamiliki wa kichina waliokuwa wanawahifadhi / wamewapangisha waafrika wasio na visa wakaanza kuwatoa majumbani mwao ili usije ikala kwao.

Nadhani nimeeleweka

God save us

Umeiona hiyo video lakini?
 
Post yako iweke vizuri, una ujumbe lakini typing error nyingi sana
Kwa kifupi ni hivi hao wote unaowaonaa mtaani wakizurula niwale wako China kinyume na sheria.

Nikuoashe kidogo kuwa hili tatizo lilianza pale raia moja wa Africa alipowapiga na kuwang'ata madaktari wa China na kutoroka karantini. Tofauti na hiyo pia kuna jamaa pia walitorika karanti hivyo serikali ikatoa picha zao zikasambazwa jimboni note kuwatafuta.

Baada ya hapo serikali ya China nikaamua kuwa waafrica wote wapimwe; kabla hawajawapima waliwaitwa viongozi wao kakininkatika kukubaliana kiongozi wa wanaigeria anasema kama anataka wapime watu wake basi wasiwadai visa. Hili suala lisingewezekana.

Hivyo walipoanza zoezi la kupita nyumba kwa nyumba wale wamiliki wa kichina waliokuwa wanawahifadhi / wamewapangisha waafrika wasio na visa wakaanza kuwatoa majumbani mwao ili usije ikala kwao.

Nadhani nimeeleweka

God save us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbali ya hii incident Wachina ni wabaguzi Mkuu hata kabla ya Corona, sasa hivi imezidi ndio maana imekua viral....

Kwa kifupi ni hivi hao wote unaowaonaa mtaani wakizurula niwale wako China kinyume na sheria.

Nikuoashe kidogo kuwa hili tatizo lilianza pale raia moja wa Africa alipowapiga na kuwang'ata madaktari wa China na kutoroka karantini. Tofauti na hiyo pia kuna jamaa pia walitorika karanti hivyo serikali ikatoa picha zao zikasambazwa jimboni note kuwatafuta.

Baada ya hapo serikali ya China nikaamua kuwa waafrica wote wapimwe; kabla hawajawapima waliwaitwa viongozi wao kakininkatika kukubaliana kiongozi wa wanaigeria anasema kama anataka wapime watu wake basi wasiwadai visa. Hili suala lisingewezekana.

Hivyo walipoanza zoezi la kupita nyumba kwa nyumba wale wamiliki wa kichina waliokuwa wanawahifadhi / wamewapangisha waafrika wasio na visa wakaanza kuwatoa majumbani mwao ili usije ikala kwao.

Nadhani nimeeleweka

God save us
 
Kwahiyo hata kwenye hiyo clip huyo dada hana Visa ndio maana kakataliwa?

Ukweli ni kwamba hata ungekuwa huku kwetu watu weuoe wawekwe kny magazwti kuwa ndio wanasambazia huo ugonjwa lazima kila mtu atawakimbia tu
 
Rudini kwenu mnasumbua na kuleta kero kwenye nchi za watu!

Wakikunyanyaseni maana yake kwa maneno mengine wanawaambia kwamba hawawahitaji na hawawataki!

Kujing'ang'aniza ng'ang'anizi tu kwenye manchi ya watu! Ohhhhhh nasoma china! China my foot!

Why don't you build your own schools and colleges!

Kupata elimu tu mpaka mkimbilie kwenye manchi ya watu! It always amazes me! Like WTF!

Kwanza afterall maaskari wa kiafrika wameonesha uhayawani na ukatili wa kutisha kwenye kushughulika na corona kuliko maaskari wowote duniani!

Kama waafrika wenzenu wanawanyanyasa kama mbwa seuze mchina anayekuona kama sokwe!

Hebu tuwe serious na maisha! Be responsible! THAT'S ALL!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best place for a black african is Africa itself.
Tuache kushobokea kuishi nchi za wazungu/waarabu/ wachina na wote wanaofanana nao.
 
Back
Top Bottom