It was a strong statement on the part of M7 with the implication that Mwalimu shouldn't have undergone such unwarrantable process of ^kung'atuka^Miaka ya 80 mwishoni
Museveni aliwahi kumsifu
Hayati Baba wataifa
kwa
Udhubutu wake waku"ng'atuka"
Nakuwaachia vijana uongozi...
Sijui museveni wa leo anakwama wapi?
Mze unakwama sanaNa yule wa Uingereza je!?
Najua niko nje ya mada ila yule mbibi huwa anatukuzwa mnoo na watu bila kumsema ila hawa wa kwetu inakuwa tabu.Mze unakwama sana
PoaNajua niko nje ya mada ila yule mbibi huwa anatukuzwa mnoo na watu bila kumsema ila hawa wa kwetu inakuwa tabu.
tofautisha kati ya rais na malkia/mfalme ndugu mseveni angekua mfalme asingekwepo kwenye list hiyo mkuu mfano mbona hawajamweka king mswati hapo au mfalme wa Morocco? Toa ujinga basi wangetaka kutawala milele na wasilaumiwe wangejipa title ya u falme, ila kama kajipa title ya rais atabanduliwa tu IPO siku!Najua niko nje ya mada ila yule mbibi huwa anatukuzwa mnoo na watu bila kumsema ila hawa wa kwetu inakuwa tabu.
Alimsifu kwakua alijua kung'atuka ni ngumu sana huoni yeye ameshindwa, nafikiri hadi sasa anajiuliza nyerere aliwezajeMiaka ya 80 mwishoni
Museveni aliwahi kumsifu
Hayati Baba wataifa
kwa
Udhubutu wake waku"ng'atuka"
Nakuwaachia vijana uongozi...
Sijui museveni wa leo anakwama wapi?
Kwa kagame umekosea kafanye research again.
Ni Sawa lakini kuchaguliwa ni 2003Kagame amekua raisi mwaka 2000 na sio 1994. Jama amekosea.