wwww
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 350
- 252
Hatimaye kitendawili cha WanaKyela kimeteguliwa kwa kijanawao kutangaza rasmi kugombea Ubunge kupitia jimbo la Kyela.
Wananchi wengi wa Kyela wanasema Africar Kagemaanaweza kuwa kijana atakayeiletea maendeleo Kyela kuliko wagombea wengine wotewaliojitokeza akiwemo Mbunge wa sasa Dr. Mwakyembe kutokana na sera zake nzurina mikakati mizuri ya kutekeleza sera zake.
Vilevile ataweza kuondoa makundi yaliyojengeka Kyelakwasababu hana kundi lolote ndani ya makundi yaliyopo Kyela kwa sasa na kwavileni msikivu, mwelewa na mnyenyekevu ataweza kuwaunganisha wanaKyela wote kwaujumla wao ili wajikite hasa katika kujiletea maendeleo yao wenyewe bila kujaliitikadi za vyama vyao.
Sera inayombeba kijana huyu ni ELIMU. Katika kutekelezasera hii amepanga kuhakikisha elimu inaimarishwa na kuboreshwa katika Wilaya yaKyela. Katika kuimarisha elimu amepanga mikakati ifuatavyo;
mbalimbali yakiwemo ya chakula nabiashara.
ujumla wake.
Kijana huyu anajinadi kuwa baada ya miaka kumi kamawananchi watampa ridhaa ya kuwa Kiongozi wao, ataacha historia ambayo hakunaKiongozi mwingine yeyote ambaye amewahi kufanya maendeleo kama yake tangu Jimbola Kyela lianzishwe mwaka 1975.
Hivyo anawasihi wananchi wa Kyela kuchagua kiongozi mzuribila kujali chama anachotoka.

- Katika mpango wa muda mfupi (miaka mitano) yakwanza atahakikisha kuwa Shule za Sekondari za Ipinda na Itope zinaboreshwa nakuwa Shule za Kidato cha Tano na Sita na kujenga shule mbili mpya za kidato chatano na sita, moja katika Tarafa ya Unyakyusa na nyingine Tarafa ya Ntebela,hivyo kuifanya Kyela kuwa na Sekondari za Serikali za Kidato cha tano na sitakufikia sita badala ya mbili zilizopo.
Pia ndani ya miaka hiyo mitanoya kwanza ana mpango ya kuanzisha ujenzi wa Chuo cha Ualimu (KYELA TEACHERSCOLLEGE) ambacho anasema kitakamilika ndani ya miaka hiyo mitano. - Katika mpango wake wa muda wa kati (Miaka 5 10) ana mpango wa kuanzisha ujenzi wa Chuo kingine cha Ualimu (IPINDA TEACHERSCOLLEGE) katika Tarafa ya Ntebela, Chuo kitakachokamilika ndani ya miaka kumiya uongozi wake kama wananchi watampa ridhaa ya kuwaongoza.
- Katika mpango wake wa muda mrefu (Mwaka 1 10)pamoja na Elimu amepanga kuanzisha