MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,370
- Thread starter
-
- #81
hiliAnaweza akaharibu DNA yake kwa vidonge lakn akishafanya hivyo hawezi tena kuzaa. Kumbuka kuwa pundamilia hawezi kumzaa punda ingawaje wote ni punda according to their nature of genetic make up. Every creature bears the offsprings originated from their species.
In biology living organisms may have the same genus but different species. Only species specify where a certain living creature belongs.
Hili somo ungeweka uzi wake mkuu. Nimevutiwa Sana.
Sina hakika japo, Michael Jackson hakuwa na mtoto wan kuzaliwa katika njia ya kawaida, yaani MTU mke na MTU mke kujamiiana. Inasemekana alipandikiza mbegu kupata mtoto. Hii sio sababu kweli, maana akibadilisha race akawa kiumbe mpya kabisa duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora mkuu usiku mwema maana nilikuwa nishaanza kukuchoka.Hii content imenidhihirishia kwamba " Wewe nimtu wa namna gani "....., usiku mwema tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anakushangaa ...hahumaa ukiwa empty set ni empty set tuBora mkuu usiku mwema maana nilikuwa nishaanza kukuchoka.
Mtu akikuuliza kwanini unamwambia huyo jamaa(Tz mbongo) kuwa ni empty set,utaeleza nini?kwamba sababu anapinga wanaojichubua kuwa wanataka kiwa kama wazungu?
Mbona kuna waafrika weupe wa kuzaliwa na huzaa watoto weusi,ndiyo maana nasema hakuna anayejichubua ili awe mzungu kwamba hadi uzao wake nao uwe weupe,mtu anajichubua yeye kama yeye tu ili awe mweupe.na suala la uzungu wala uchina.
Ona sasa hujui mie nina rangi gani ila unaniambia nijichubue,mna matatizo sana.We jichubue tu.
Mwanamke anajiweka kutokana na wanaume wanavyotaka awe, nyie wasukuma kwa kupenda weupe mnaharibu sana madada zetu. You are to blame.Hawa dada zetu waliokuwa weusi na kujigeuza weupe kama wazungu, ni wakuhurumia tuu, kwa sababu japo wanapendeza kwa muonekano, lakini mambo ya mwilini, pia yanabadilika..
Niliwashauri dada zetu wajivunie rangi zao za asili, tena hata hao ma black, kuna types mbili
Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!. - JamiiForums
P
Ndo maana huwa tunapiga na kuacha. Foolish women who do not realise their true value!
Tungeichukia rangi nyeupe na kuipenda nyeusi.Mara nyingi huwa nawaza tu
Hivi ingekuwaje mzungu angekuwa na ngozi nyeusi na nywele za kipilipili alafu sisi tungekuwa na ngozi ya pink (ile ya kwao) na nywele nyoofu.
Ingekuwaje?
Bila Shaka tungetamani rangi nyeusi na kuchukia Ile ya kitimotoMara nyingi huwa nawaza tu
Hivi ingekuwaje mzungu angekuwa na ngozi nyeusi na nywele za kipilipili alafu sisi tungekuwa na ngozi ya pink (ile ya kwao) na nywele nyoofu.
Ingekuwaje?
Huu ndo upumbavu mkubwa kuliko yote. Huyu ndo alisema ana-date na watu wanaoongea English TU. Mwanamke WA hivi, ni zero brain kabisa!!
Hahahaaa aisee hujawahi kuona mhindi mweusi au mwarabu mweusi akijichubua? Sasa kwa taarifa yako hakuna watu wanaongoza kujichubua kama hawa. Tena kama ukitoka mweusi mapema kabisa tangia utotoni wanachubuliwa.Kuna Waafrika Weupe na Weusi
Kuna Waarabu Weupe na Weusi
Kuna Wahindi Weupe na Weusi
Sijawahi kumwona Mwarabu au Mhindi Mweusi akiichukia ngozi yake nyeusi na akafanya juhudi ya kubadilisha ngozi yake iwe ya rangi nyeupe.
Wote wanazipenda na kuzithamini rangi zao za asili.
Tatizo lipo kwa Mwafrika Mweusi, kuna baadhi ya Waafrika weusi hawauthamini weusi wao.
Wanalazimika kuharibu ngozi zao ili ziwe Nyeupe.
Hii ndio tofauti ya Waafrika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona sasa hujui mie nina rangi gani ila unaniambia nijichubue,mna matatizo sana.