Shaka-Zulu
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 432
- 831
Ndio maana huwa nasema tatizo letu sie waafrika ni umasikini wetu tu ndiyo maana kila kitu hatuishi kulalama maana tunaona hayo mambo yanatokea kwa sababu ya uduni wetu,tamaduni za kizungu zipo hadi huko Asia ila wewe unaona afrika pekee ndio imeathiriwa na hizo tamaduni za jamii zengine. Hivi katika watu waliyoathiriwa na tamaduni za kizungu sie si tunashika mkia tu. Usiishie kuamini kuwa unachoongea ni sahihi bali fanya kauchunguzi kidogo ili uwe na hakika na unachoongea,wengi mnatumia hisia tu na kwa sababu mnapenda kulalamika.Tatizo lako huwa unabisha mpaka kwenye vitu ambavyo haviitaji mabishano .... Taifa lolote lile ambalo linaitawala dunia jambo moja wapo ambalo huwa linafanya ni kuhakikisha linairithisha dunia mila na tamaduni zao " kisha wana hakikisha wana fanya propaganda dhidi ya mataifa mengine kuhusu yale yanayopatikana katika taifa lao ... propaganda moja wapo katika hizo ni kuhakikisha jamii ya watu wao inaonekana bora kuliko jamii ya watu wengine " ..... baada ya hapo sasa utaanza kuona jamii za watu wengine zikianza kuiga hizo tamaduni za hilo taifa kuiga life style nzima ya jamii hiyo .....
Ndio maana leo hii kuna watu katika jamii yetu ni weusi na wamekuwa wakitukanwa na kufedheheshwa kwaajili ya rangi waliyo nayo ..kwa sababu baadhi ya watu wajamii hiyo wanaamini kwamba watu weupe wazungu ndio race bora duniani
Si kila mweusi lazima awe muafrika na sio kila muafrika lazima awe mweusi.
Balaa ni pale mnapokuja kuzeeka,kama ndio mkeo utamshangaa ghafla kawa mweusi tii,maana vipodozi vyote vimegoma kwa uzee...Hawa dada zetu waliokuwa weusi na kujigeuza weupe kama wazungu, ni wakuhurumia tuu, kwa sababu japo wanapendeza kwa muonekano, lakini mambo ya mwilini, pia yanabadilika..
Niliwashauri dada zetu wajivunie rangi zao za asili, tena hata hao ma black, kuna types mbili
Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!. - JamiiForums
P
Hawa dada zetu waliokuwa weusi na kujigeuza weupe kama wazungu, ni wakuhurumia tuu, kwa sababu japo wanapendeza kwa muonekano, lakini mambo ya mwilini, pia yanabadilika..
Niliwashauri dada zetu wajivunie rangi zao za asili, tena hata hao ma black, kuna types mbili
Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!. - JamiiForums
P
UNAWEZA DHANI UNAISHI NA MWILI WA MAREHEMU CHUMBANIBalaa ni pale mnapokuja kuzeeka,kama ndio mkeo utamshangaa ghafla kawa mweusi tii,maana vipodozi vyote vimegoma kwa uzee...
Mzee baba una comments lakini hata likes au wakuunga mkono hoja zako haumpatiNdio maana huwa nasema tatizo letu sie waafrika ni umasikini wetu tu ndiyo maana kila kitu hatuishi kulalama maana tunaona hayo mambo yanatokea kwa sababu ya uduni wetu,tamaduni za kizungu zipo hadi huko Asia ila wewe unaona afrika pekee ndio imeathiriwa na hizo tamaduni za jamii zengine. Hivi katika watu waliyoathiriwa na tamaduni za kizungu sie si tunashika mkia tu. Usiishie kuamini kuwa unachoongea ni sahihi bali fanya kauchunguzi kidogo ili uwe na hakika na unachoongea,wengi mnatumia hisia tu na kwa sababu mnapenda kulalamika.
Mnawaza vitu ambavyo havina mahusiano na kudhani ndio vinafanya msiwe na maendeleo wakati wengine hivyo vitu na maendeleo yapo kama kawaida.
Cha kwanza huwa sipendi kusifiwa na ingekuwa nataka likes basi ningeenda Instargram,sipo hapa ili kuungwa mkono bali niko hapa kueleza kile kilicho sahihi.Mzee baba una comments lakini hata likes au wakuunga mkono hoja zako haumpati
Hivi bado tu hauja jishtukia kuwa una speaks nonsense .... wapi ambapo nimesema kuwa tamaduni za kizungu zinaishia africa tu !? Wapi ambapo nimesema kuwa Africa haipati maendeleop kwaajili ya kujichubua !? Mbona unatoka nje ya maudhui ya mada mzee...
Africa imeathirika zaidi na tamaduni za wazungu na waarabu yes ---- kwa sababu licha ya kutawaliwa tu na watu wa race hizo " jamii hizo pia ziliwahi kufanya biashara ya utumwa africa kwa muda wa miaka takriban 300 ....
so hauoni kuwa hiyo awali mbaya ambayo africa iliipitia katika kipindi cha miaka yote hiyo " imechangia kumfanya muafrica aweze kuzaa kizazi cha watu wanaoshindwa kujiamini pindi waafrica hao wanaposimama mbele ya waarabu na wazungu " kwa sababu walishazoea kusikia mababu zao na mabibi zao wakiambiwa kuwa wana fanana na nyani ...na ikatumika nguvu kubwa ya kuwaaminisha hivyo " ............ leo hii unapinga nini sasa kuona watu hao wakishindwa kujivunia uafrica wao vile inavyo paswa kuwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kituko,nywele nyeupe kope nyeusi
Cha kwanza huwa sipendi kusifiwa na ingekuwa nataka likes basi ningeenda Instargram,sipo hapa ili kuungwa mkono bali niko hapa kueleza kile kilicho sahihi.
Umeleta suala la utamaduni katika kuonesha huku kujichubua ni athari za kufuata tamaduni za watu wengine,ajabu mie kuchangia unasema niko njee ya mada.
Nimekwambia hata huko Asia mnapopasia kwamba wanafuata tamaduni zao sijui wana dini zao,huko nako utamaduni wa kizungu umeingia tena sisi hatuwafikii,jaribu hata kufuatilia basi mbona haya mambo yapo wazi sio unakuja kulalamika tu hapa kihisia ili upate likes mkuu.
Nani kasema hivyo? Hivi tunaelewana kweli? Sasa mchina ajichubue ili aweje?tatizo lenu mnalazimisha kujichubua na uzungu kana kwamba weupe ni wazungu tu,nishasema hakuna anayejibua ili awe mzungu. Hao wachina wako na wakorea kwao nako kuna tamafuni za kizungu zimevamia ila wewe endelea kukariri kuwa kujichubua ndio kufuata uzungu.Kwahiyo ulitaka wachina.wa korea nao wajichubue like seriously ...?
Likes ni muhimu ndio maana button yake ikawekwa ... unapo pewa likes na members wenzako haswaa kwenye mijadala nyeti kama hii inachangia kukufanya ujitambue kuwa akili yako ime mature kiasi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hebu soma kwanza vizuri comment yako iliyo tangulia ..siamini kama unaugumu wa kuelewa kiasi hiki ..wewe sindiye uliyesema kwamba tamaduni za kizungu mpaka asia zipo ukiwa na mantiki ya kuhoji mbona huko hawajichubui .... hahaa mara hii unajikana na kuniuliza nani kasema hivyo ?? Kwani ulivyosema kwamba hata asia kuna utamaduni wa wazungu ktika hii mada inayohusu self injury ulikuwa una maanisha nini mkuu ..Nani kasema hivyo? Hivi tunaelewana kweli? Sasa mchina ajichubue ili aweje?tatizo lenu mnalazimisha kujichubua na uzungu kana kwamba weupe ni wazungu tu,nishasema hakuna anayejibua ili awe mzungu. Hao wachina wako na wakorea kwao nako kuna tamafuni za kizungu zimevamia ila wewe endelea kukariri kuwa kujichubua ndio kufuata uzungu.
Halafu likes ingekuwa ishu basi kusingekuwa na uzi humu wa kupeana likes tu bila sababu ya maana,hapo ndio utajua likes ni upuuzi tu kuna watu wao kulikes ni kawaida hata ukiandika kitu cha kupumbavu.
Labda twende hivi ndio tutaelewana: kuna mahusiano gani ya kujichubuwa na utamaduni wa kizungu? Maana muda wote humu nimekuwa nikipinga suala la kujichua na kujifananisha na uzungu.Haha hebu soma kwanza vizuri comment yako iliyo tangulia ..siamini kama unaugumu wa kuelewa kiasi hiki ..wewe sindiye uliyesema kwamba tamaduni za kizungu mpaka asia zipo ukiwa na mantiki ya kuhoji mbona huko hawajichubui .... hahaa mara hii unajikana na kuniuliza nani kasema hivyo ?? Kwani ulivyosema kwamba hata asia kuna utamaduni wa wazungu ktika hii mada inayohusu self injury ulikuwa una maanisha nini mkuu ..
.
Then nimekwambia likes nimuhimu kwenye mada nyeti kama hizi humsaidia victim kuweza kubaini uwezo wake wa kufikiri ume improve kiasi gani -- ina maana hauelewi na mantiki ya mada nyeti mkuu !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment yangu ya kwanza ilikuwa inajieleza tu vya kutosha haikuwa inazungumzia utamaduni pekee but ili kuwa inaeleza jinsi ambavyo race moja yenye nguvu duninia inavyo weza kuyatawala mataifa mengine kisha kuwa brain washed kuwa race yao ndio bora zaidi kuliko race zozote zile duniani .. so tayari kizazi cha africa kina hiyo mentality ndani yetu" ndio maana katika jamii yetu bado tuna watu ambao wana amini kwamba mzungu ni mtu bora kuliko watu weusi " ....... so kwa muktadha huu wataka kubisha nini kuwa wanaojichubua wote huwa wanajichubua kwa sababu wanaamini kwamba kuwa mweupe kama mzungu ndio ubora na ukamilifu wa binaadamuLabda twende hivi ndio tutaelewana: kuna mahusiano gani ya kujichubuwa na utamaduni wa kizungu? Maana muda wote humu nimekuwa nikipinga suala la kujichua na kujifananisha na uzungu.
Anaweza akaharibu DNA yake kwa vidonge lakn akishafanya hivyo hawezi tena kuzaa. Kumbuka kuwa pundamilia hawezi kumzaa punda ingawaje wote ni punda according to their nature of genetic make up. Every creature bears the offsprings originated from their species.Kuna mtu alishawahi kuniambia kuwa kuna vidonge mwanamke akimeza anakuwa mweupe kabisa na pia watoto anaweza kuzaa weupe kabisa meaning DNA inabadirika pia. Is this true?.
NB. kuzaa watoto inadepend na DNA za baba pia lakini kwa maelezo ya yule mtu it seems kile kidonge kina-affect pia genetic codes.
Nachopinga ni hoja ya kwamba watu wanajichubua ili wawe kama wazungu,wakati tunajua uzungu sio kuwa mweupe tu maana hata wachina,waarabu,wahindi na hadi warangi pia weupe. Sasa haya ya kujichubua ili kuwa kama wazungu ni yenu nyie hayana ukweli mnalazimisha tu. Nyie ndio mnamatatizo kwa kuona weupe ndio uzungu wakati hata wewe inawezakana ukawa mweupe wa kuzaliwa na usiwe mzungu.Comment yangu ya kwanza ilikuwa inajieleza tu vya kutosha haikuwa inazungumzia utamaduni pekee but ili kuwa inaeleza jinsi ambavyo race moja yenye nguvu duninia inavyo weza kuyatawala mataifa mengine kisha kuwa brain washed kuwa race yao ndio bora zaidi kuliko race zozote zile duniani .. so tayari kizazi cha africa kina hiyo mentality ndani yetu" ndio maana katika jamii yetu bado tuna watu ambao wana amini kwamba mzungu ni mtu bora kuliko watu weusi " ....... so kwa muktadha huu wataka kubisha nini kuwa wanaojichubua wote huwa wanajichubua kwa sababu wanaamini kwamba kuwa mweupe kama mzungu ndio ubora na ukamilifu wa binaadamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Topic ina picture mnato inayo muonyesha mwanamke aliyejichubua nakuchoma nywele za blonde .. nashangaa umeshikilia kwenye kujichubua tu ....Nachopinga ni hoja ya kwamba watu wanajichubua ili wawe kama wazungu,wakati tunajua uzungu sio kuwa mweupe tu maana hata wachina,waarabu,wahindi na hadi warangi pia weupe. Sasa haya ya kujichubua ili kuwa kama wazungu ni yenu nyie hayana ukweli mnalazimisha tu. Nyie ndio mnamatatizo kwa kuona weupe ndio uzungu wakati hata wewe inawezakana ukawa mweupe wa kuzaliwa na usiwe mzungu.
Aisee sikuwa najua kumbe uzi unahusu muonekano wa huyo mdada tu kwenye picha,mie nilifikiri uzi unazungumzia suala la kujichubua kiujumla wake.Topic ina picture mnato inayo muonyesha mwanamke aliyejichubua nakuchoma nywele za blonde .. nashangaa umeshikilia kwenye kujichubua tu ....
Hivi kuna mchina .muhindi .muarabu ambaye ana blonde hair "!? ..... yaani ulitaka tumfananishe mtu aliye jichubua nakuchoma nywele kuwa blonde na wachina .waarabu .wahindi ambao liability hawana blonde hair ...
Uko vizuri upstairs kweli !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii content imenidhihirishia kwamba " Wewe nimtu wa namna gani "....., usiku mwema tafadhaliAisee sikuwa najua kumbe uzi unahusu muonekano wa huyo mdada tu kwenye picha,mie nilifikiri uzi unazungumzia suala la kujichubua kiujumla wake.