African woman looking white! What went wrong with us?

Weusi au Weupe sio Kitu
What matters most ni wa kike!!
 
Hapana,ila tunalo tatizo la kujichubua ndani ya jamii ya kiafrica (wake kwa waume),ambapo wengi wanaamini ili uwe mzuri lazima uwe mweupe!!
Ukiondoa suala la kujichubua,je mtazamo wetu kiujumla juu ya ngozi nyeusi na nyeupe ukoje? Maana nasikia kuna makabila ambayo mabinti weupe huozwa kwa mahari kubwa kwa sababu ni weupe tofauti na mabinti weusi,wengine wanaogopa kutembea wakati wa jua kali kwa kuhofia kuwa weusi sana.
 
NIMESIKITISHWA HASA NA UAFRICA MPYA WA KUKAA HATA NYWELE SASA WAMEHAMIA ZA RANGI YA AKINA MADONA.??
 
Ina maana muafrika lazima awe mweusi?
SIO LAZIMA ILA PIA SIO LAZIMA UJICHUBUE NAMNA HII NA KUWEKA MANYWELE YA AKINA MADONA. BAHATI MBAYA HATUWEZIKUWA WAZUNGU KWA KUWEKA MANYWELE NA KU-CREAM NGOZI ZETU.
TUNAJITAHIDI KUWA KAMA WAZUNGU KWA NJE LAKINI AKILI ZETU NA MATENDO YETU YANATUTAMBULISHA USHAMBA NA ULIMBUKENI TULIONAO.
NAAMINI UNAWEZA KUWA MZURI KWA RANGI YAKO NA NYWELE ZAKO ZA KIAFRICA. UKISHINDWA BASI, HATA NYWELE ZA RANGI INAYOAKISI UAFRICA NAZO SHIDA?
 
I do not support skin bleaching... but if I want a blonde look, I will wear a blonde wig or dye my hair blonde.

If am weary of my African afro I will braid it or get a hair cut.

If I want to straighten my curly hair I will perm it. Because am a woman and I feel like it.
 
Mi sidhani kama wanafanya hivyo ili wawe kama wazungu,nachojua hufanya kama urembo tu et wawe wazungu.
 
Mi sidhani kama wanafanya hivyo ili wawe kama wazungu,nachojua hufanya kama urembo tu et wawe wazungu.
Hiyo inaitwa Devide and rule mkuu ".... huwezi kuona athari yake kwa macho bali mpaka pale utakapo anza kutumia akili ipaswavyo "

Hapo mantiki yake ni kwamba Mtumiaji haioni thamani ya race yake ndio mana anashindwa kuikubali na hatimae anatamani kuwa na muonekano wa race nyingine tofauti na ile inayomuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunarudi kulekule tu,nachojua hao wanafanya hivyo ni kwa sababu ya urembo tu na si kwamba wanataka wawe kama race fulani au wanadharau race yao.

Unajua haya yote yanakuja kutokana na ukweli kwamba mitazamo yetu juu ya hizo races zengine ndio hufanya tuone hao wanaojibua na kuvaa mawigi hufanya hivyo et kufanana na wazungu au sijui wanadharau race yao.
 

Mkuu unaona kama unarudi pala pale tu kama nilivyosema awali?ikiwa jamii /makabila flani huoza mabinti wao weupe kwa mahari kubwa tofauti na weusi,hii ina maana kuwa wanaamini weupe ndio uzuri wenyewe,ama sivyo?na imani hiyo ndio inasababisha tuwe na tatizo la watu kutaka kujichubua ili waonekane wazuri.na ukiangalia vizuri utagundua kwamba hili tatizo la watu kujichubua si la Tanzania pekee,ni karibu Africa yote,na si kwa raia wa kawaida tu,mpaka viongozi wa juu kwenye nchi zetu,wasomi na wasio wasomi.
Shida yetu kubwa sisi Waafrica ni kwamba hatujithamini,hatujielewi ,hatujikubali ,hatujitambui wala kujiamini,tunafanya mambo mengi kujitukana wenyewe tu.
 
Sure. Nami nimeona mapema sana kwa jicho la tatu kama ulivoona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli waafrika hutujitambui. Hatujui nguvu zetu za asili na sifa zetu kuu kwa vile hatujisomi na kujielewa. Tukizitambua na kujifahamu strength yetu tutaenda mbali. Wengi hatujui why tupo tulivyo ndo maana watu wanataka wawe kama wazungu au waarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…