MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 849
msimuoneee, ikiwa ni top african, kwani inawezekana chuo kikawa kizuri kwa africa halafu kibaya kwa dunia, si wanachukua ranking zilezile za duina...Nairobi university is the third in east africa. Makerere has overtaken University of Dar just these past two years, Dar was the best in East africa. Kenya hawawezi kuringana na yeyote hapa east africa, kwasababu elimu yao ni mfu. inakujaje kichwani mtu anaingia university baada ya kufika form four...thats rediculous....Uganda and tz wanasoma form one to form six ndio wanaenda chuo. ndio maana ni watu waliofeli tz tu ndo wanaenda kujiunga na vyuo vya Kenya, waliofaulu hawawezi kwenda kusoma kenya hata siku moja. wana elimu laini isiyo na thamani sana wanachofurahia ni kujaza wanafunzi ili waonekane kama wanao wasomi wengi, kumbe wasomi wao ni mabom.
Mfumo wa elimu ya Kenya ni kama Marekani meaning K-12(Kindergarten to grade 12). So hiyo siyo sababu ya elimu ya Kenya kuwa nzuri zaidi. Unless una taka kusema kwamba sisi Tanzania tunaoenda mpaka form six tuna elimu nzuri zaidi kuliko Wamarekani ambao wanaienda mpaka grade 12(form four kwa huku).