African Satellite World and Sat Gear

Ipi ni receiver bora kwa channel za habari, documentary, n.k. kutumia dishi? Ninekinai brand ya GT Media.
Pale AliExpress sijapaelewa
 
Nina meecast ni model mpya ambayo imeboreshwa signal ic yake ni strong pia ina mfumo wa iptv ina akaunt ya mwaka, unaweza kutumia ivo kawaida kwa dish au ukiwa na bando unajiachia tu na iptv
Thanks! Uliinunua wapi (mawasiliano kama inawezekana)? Bei gani?
 
Kaka huduma ipo bado
 
Ipi ni receiver bora kwa channel za habari, documentary, n.k. kutumia dishi? Ninekinai brand ya GT Media.
Pale AliExpress sijapaelewa
tafuta mediastar 4030 pro (ina processor yenye nguvu so uta enjoy hata IPTV ), achana na takataka za GT media hizo
mwaka jana bei ilisoma 280k
 
IMESHUKA BEI SASA NI
tsh 120,000
Starsat: sr 200 extreme UHD 4k
Used ila Ipo na kila kitu chake
Ipo Dar es Salaam.
Contact: 0778045037
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…