African Satellite World and Sat Gear

Niko SA, na now naona wako na decoder yao mpya nataka kununua nitumie nyumbani. Will it work there? Na unaweza vipi recommend mtu anayetaka nunua maana i am not good in satellite things


You may check their channel listing in the link posted above. IMO, it’s a good deal.

However, confirm about beam availability in your intended location of use and the method of decoder activation prior to making a purchase.
 
You may check their channel listing in the link posted above. IMO, it’s a good deal.

However, confirm about beam availability in your intended location of use and the method of decoder activation prior to making a purchase.
Thank
 
Wataalam nahitaji fta decoder nzuri yenye Tiger T3000 forever android 4K ama nyingine yenye sifa zaidi ya hii.
 



 
Kuhusu decoda yenye SESS 5 naombeni mafekeche jinsi ya kupata sport FTA
 
Wakuu leo nmejaribu kuchomeka coaxial cable kwa TV bila antenna ila kule kwenye kichwa nikaacha copper wire ina kama inches 6-8 bana nikascan nikapata channels 130 na radio moja.... Mostly ni za Azam na Startimes kwa uchache... Ila zinazoonyesha ni hizi 👇 kuna namna ya ku unscramble hizi hivi hivi kwa huu waya wa coaxial au mpaka nifunge antenna yenyewe? Nipo kama kilometer chini ya 5 kutoka ulipo mnara wa Azam TV

 


New channels at same tp.



 
Satellite frequency eutelsat 7b

Frequency 10887 mhz
Polarity H
Symbol rate 30000

Channel hii nimeazisha wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…