255Gene JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 888 Reaction score 1,093 Apr 30, 2017 #1 Habari za saa hii wanajamvii. Hivi kuna mwimbo kwa wakati huu wa mapenzi (wa kiafrika) unaoweza kuufunika huu wimbo wa 2Face -African Queen? Kwa upande wangu ndio mwimbo bora kabisa wa mapenzi uliowahi kutungwa kiafrika..
Habari za saa hii wanajamvii. Hivi kuna mwimbo kwa wakati huu wa mapenzi (wa kiafrika) unaoweza kuufunika huu wimbo wa 2Face -African Queen? Kwa upande wangu ndio mwimbo bora kabisa wa mapenzi uliowahi kutungwa kiafrika..
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,267 Apr 30, 2017 #2 Marlaw- Daima na Milele
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Apr 30, 2017 #3 Au kwa kuwa una jina Afrika ndio maana unaukubali nini
255Gene JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 888 Reaction score 1,093 May 1, 2017 Thread starter #4 STUNTER said: Marlaw- Daima na Milele Click to expand... Kwa Tanzania kweli but kwa Africa nzima nampa heshima yake 2Face
STUNTER said: Marlaw- Daima na Milele Click to expand... Kwa Tanzania kweli but kwa Africa nzima nampa heshima yake 2Face
255Gene JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 888 Reaction score 1,093 May 1, 2017 Thread starter #5 Joseverest said: Au kwa kuwa una jina Afrika ndio maana unaukubali nini Click to expand... Na mashairi yake mkuu
Joseverest said: Au kwa kuwa una jina Afrika ndio maana unaukubali nini Click to expand... Na mashairi yake mkuu
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,201 Reaction score 15,234 May 1, 2017 #6 Chinny Baby - Mr Flavor
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,267 May 1, 2017 #7 255Gene said: Kwa Tanzania kweli but kwa Africa nzima nampa heshima yake 2Face Click to expand... Flavour ft Chidnma- Ololufe
255Gene said: Kwa Tanzania kweli but kwa Africa nzima nampa heshima yake 2Face Click to expand... Flavour ft Chidnma- Ololufe