African Person of the Year – The opposition – bloodied, not bowed,Lissu & Bobi Wine

Nadhani yote yanaanzia kwenye kukubali JPM anawafuasi wengi saana....na style yake ya uongozi amejizolea wafuasi wengi.

Unajizolea wafuasi halafu chini ya utawala wako chaguzi zote zimenajisiwa! Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
 
Watanzania gani unaowazungumzia! Mbona walimpa Kura za kishindo ila jpm akaziipa zota.
Si unaona hii thread ya Lissu inavyoenda mwendo wa kinyonga, hadi muda huu ipo page ya 2 tu, Lissu ameshachuja, atarudi Tz kwa aibu sana huku mishavu ikiwa imejaaa na kulegea kama bull dog.
 
Kwa nini asiwe Lazarus Chakwera ambaye aligombea kupitia upinzani na akashinda? Kama tunatafuta the best opposition leader basi atakuwa yeye; lakini kama tunatafuta the most loser among losers, then tuwape kina lisu.
 
Back
Top Bottom