African Hezbollah!

Nyakipambo

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
435
140
Worshiping of Arab demigod by Nigerians!

This is slowly coming to Tanzania..... watch out..

nigeria I.jpg

nj.jpg

africanhezbollah.jpg
 

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,538
9,433
Duuh.. Nigeria's disintegratin.. I know those terrorists wont stop until they've achieved their goal..
 

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,172
6,087
Ah ndo kuna nini hapo? Wewe nyaki na nyie mkiwa mnabeba picha za pope tuseme kuwa munaabudu zungu demigod? Acha upumba.vu wako wewe! Na katika hiyo picha kuna kipi kibaya wanachofanya? Hakuna fujo just ni kawaida tu! Izo chuki zenu ndo zinazowarudisha nyuma!!
 

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,881
3,731
Thubutu....nani kasema bongo hii kitu itakuja?

Rostam Aziz asili yake ni Iran, hivyo yupo hapa kuwatengenezea njia hao jihadists wakati nyie vilaza wa magamba mmelala; mtakapoamka mtakuta wanenu wasiokuwa na ajira wenye njaa nyingi wamevishwa magwanda meusi na wanabeba picha za Ayatolla Khomeni!!!!
 

LexAid

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
1,932
771
Rostam Aziz asili yake ni Iran, hivyo yupo hapa kuwatengenezea njia hao jihadists wakati nyie vilaza wa magamba mmelala; mtakapoamka mtakuta wanenu wasiokuwa na ajira wenye njaa nyingi wamevishwa magwanda meusi na wanabeba picha za Ayatolla Khomeni!!!!

Mkuu hujanisoma wewe....inaelekea hata hujui nani ni Magamba. Acha kukurupuka
 

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,881
3,731
Mkuu hujanisoma wewe....inaelekea hata hujui nani ni Magamba. Acha kukurupuka

Wewe ndio hujanielewa, kwangu mie magamba ni hao walioshika dola lakini hawana akili ya kuongoza nchi wala kulinda mali za nchi yao na hao ndio ninaowananga!! Mkijatoka usingizini mtakuta wanenu wanabeba picha za MaAyatolla wa Iran kwa sababu ya ujinga wenu!!
 

Wun

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
358
72
hizo picha walizobeba ni viongozi wakubwa wa kishia...kama vile wakatoliki wanavyobeba picha za pope msipendi kuchanganya mambo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

TONGONI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
1,041
373
Ah ndo kuna nini hapo? Wewe nyaki na nyie mkiwa mnabeba picha za pope tuseme kuwa munaabudu zungu demigod? Acha upumba.vu wako wewe! Na katika hiyo picha kuna kipi kibaya wanachofanya? Hakuna fujo just ni kawaida tu! Izo chuki zenu ndo zinazowarudisha nyuma!!

Mkuu hii kitu niliiona kwa mara ya kwanza niliiona maadhimisho ya kifo cha imam Hussein...picha nilizoziona zilinistua kidogo hasa ile ya SAYYED HASSAN NASRALLAH picha ya kati mwenye ndevu nyeupe na miwani huyu jamaa ni kiongozi wa HIZBULLAH au ISLAMIC RESISTANCE IN LEBANON na kitu kingine nilimuoana Sheikh Hemed JALALA ambaye ni kiongozi wa Hawzat Al-Imam Swaadiq iliyoko kigogo post mtu ambaye nilikutana nae katikati ya miaka ya 90 Beirut-Lebanon akiwa ndio kwanza amekuja kusoma.

Tukirudi kwenye maana ya kwa nini wenzetu wanabeba picha za Pope na watu hawasemi kitu lakini za hawa jamaa kumetokea watu kuguna? Kuna lugha siku hizi wana tumia "mimi kama mimi' hawa jamaa siwaafiki wanatumia mgongo wa dini kufikia malengo na huyu HASSAN NASIRALLAH ni kiongozi wa kisiasa na sio Sheikh wakusalisha msikitini...Hawa jamaa inabidi wataamwe kwa macho mawili la sivyo tutakuja juta wakati jua limesha zama.

Labda nimalizie kwa kusema hawa HIZBULLAH wanachangia kiasi kikubwa kuivuruka Lebanon mimi binafsi nimesha fika mpaka maeneo yenye makao makuu ya HIZBULLAH hawafai...ningeeleza mengi lakini muda sina...they use to say JF ni zaidi ya ujuavyo.
 

MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,056
1,367
hao ni mashia, mashia sio waislamu. Waislamu hua hatuna ujinga kama huo. Hatubebi picha za mtu yeyote sisi. Hao wamo rogwa tu.
 
  • Thanks
Reactions: Wun

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom