African Football League ni bonanza la mchongo

Ni mashindano ambayo yameibuka tu from nowhere. Hakuna vigezo rasmi kujua washiriki wanapatikanaje, bingwa ataenda kwenye hatua gani inayofuata?, atakaebeba kombe atapewa honorable title gani? maana kama ni bingwa wa CAF ngazi ya vilabu anapatika kupitia CAF champions league.

Vigezo vilivyotumika kupata washiriki kwenye hili bonanza havina mtililiko wa kimantiki. Uwezi ukajiita timu kubwa wakati ujawahi kucheza hata fainali ya caf champions league wala caf confederation cup katika historia yako. Tukisema tuangalie top 8 ya African clubs kuna washiriki hawapo. Ukubwa uko wapi sasa hapo? Kufika robo fainali?

Hatuwezi kuangalia kigezo cha pesa pekee. Msisimko wa soka ni yale mapambano ya machozi, jasho na damu uwanjani kutengeneza legacy ni kitu ambacho pesa haiwezi kukinunua. Mpira pesa sawa lakini lazima misingi ya mpira ilindwe pesa pekee isiwe determined factor. Ndio maana UEFA waliweka sheria ya financial fair play hata lile kombe walilotaka kulianzisha wakina Perez lilipigwa chini.

Ingawa natetea heshima ya mchezo wa soka lakini najua kuna mashabiki watakuja kunishambulia, hawawezi kunishangaza kwa sababu mwenyekiti wao wa zamani alishasema hali ya akili zao. Ukitaka kupata uthibitisho wa kauli ya mwenyekiti wao wa zamani soma comments zao hapa chini.
Wivu utakuua !! Pole sana!! Ni mtoto mdogo tu kwenye soka ambaye hawezi kujua vigezo vilivyotumika kuzipata hizo timu 8. Kwa faida ya wasiojua kama wewe, kigezo ni mkusanyiko wa pointi ilizokusanya timu katika kipindi cha miaka mitano (5). Hapa kilichokuwa kinatafutwa ni consistence!! Wastyani wa ubora kwa miaka 5!! Ndiyo maana TP Mazembe imo na Uto haimo!!
 
Ni mashindano ambayo yameibuka tu from nowhere. Hakuna vigezo rasmi kujua washiriki wanapatikanaje, bingwa ataenda kwenye hatua gani inayofuata?, atakaebeba kombe atapewa honorable title gani? maana kama ni bingwa wa CAF ngazi ya vilabu anapatika kupitia CAF champions league.

Vigezo vilivyotumika kupata washiriki kwenye hili bonanza havina mtililiko wa kimantiki. Uwezi ukajiita timu kubwa wakati ujawahi kucheza hata fainali ya caf champions league wala caf confederation cup katika historia yako. Tukisema tuangalie top 8 ya African clubs kuna washiriki hawapo. Ukubwa uko wapi sasa hapo? Kufika robo fainali?

Hatuwezi kuangalia kigezo cha pesa pekee. Msisimko wa soka ni yale mapambano ya machozi, jasho na damu uwanjani kutengeneza legacy ni kitu ambacho pesa haiwezi kukinunua. Mpira pesa sawa lakini lazima misingi ya mpira ilindwe pesa pekee isiwe determined factor. Ndio maana UEFA waliweka sheria ya financial fair play hata lile kombe walilotaka kulianzisha wakina Perez lilipigwa chini.

Ingawa natetea heshima ya mchezo wa soka lakini najua kuna mashabiki watakuja kunishambulia, hawawezi kunishangaza kwa sababu mwenyekiti wao wa zamani alishasema hali ya akili zao. Ukitaka kupata uthibitisho wa kauli ya mwenyekiti wao wa zamani soma comments zao hapa chini.
Kwani ww na Dr Motsepe nani mwenye akili
 
1697779337137.png
 
Back
Top Bottom