African Countries by number of Dollar Millionaires

Kwanza hiyo kenya yenyewe haina hata billionaire
Kwa akili yako ndogo unadhani uhuru or Ruto si billionaires?
Mali ya Kenyatta Ni mara kumi ya Dweji
Shamba pekee zinaworth billions,
Ni vile Forbes doesn't count politicians.
Shamba yake ya from kasarani hadi kiambu inaworth more than $1B
 
Forbes hawa count hzo mali cz ni zenu mmeibiwa, hata cc kuna wanasiasa wengi mabilionea ila hawajafikia kiwango cha wanasiasa wa kenya kwa wizi.
 
Kwa akili yako ndogo unadhani uhuru or Ruto si billionaires?
Mali ya Kenyatta Ni mara kumi ya Dweji
Shamba pekee zinaworth billions,
Ni vile Forbes doesn't count politicians.
Shamba yake ya from kasarani hadi kiambu inaworth more than $1B
Duh!?..show us networth ya kunyatta na ruto with evidence
 
Kwa akili yako ndogo unadhani uhuru or Ruto si billionaires?
Mali ya Kenyatta Ni mara kumi ya Dweji
Shamba pekee zinaworth billions,
Ni vile Forbes doesn't count politicians.
Shamba yake ya from kasarani hadi kiambu inaworth more than $1B
Shamba zinamazao gani Au ni mapori tu
 
We have more $ millionaires than Kenya,Uganda,Burundi and Rwanda combined ,a report by knight Frank ,A big reason for you to worry about our gdp in few years to come
You have to think with your butt to believe that.
 
Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi < Tz dollar millionares, and today we've announced a new millionare
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

You have very few millionaires and most of them are Indians and Arabs.
 
Hahahaha kama ni hayo mashamba, watanzania wote ni mabilionea 😂😂😂😂
Huwezi linganisha bei ya shamba anywhere in East Africa na ya within Nairobi metropolitan,
Reason nilitaja ya kasarani but si ya taita taveta ambayoi Ni valueless kama Tanzania yote(cheap)
 
Back
Top Bottom