African Countries by number of Dollar Millionaires

Where is your source, stop bringing us snapshots.
Wacha nikupe magazeti ya huko kwenu na usipo ridhika utapewa zingine.

Kulingana na ripoti hiyo, jumla ya raia 5,553 wa Tanzania waliorodheshwa miongoni mwa watu wenye mapato ya juu mwaka uliopita, ikiwakilisha ongezeko la asilimia nane ikilinganishwa na matajiri 5,118 mwaka 2018 na 3,000 mwaka 2014.

Kulingana na ripoti hiyo , taifa hilo la John Pombe Magufuli ndilo taifa la pekee Afrika Mashariki kuwa na bilionea wa dola za marekani ambaye ana thamani ya dola bilioni moja au zaidi.

Hivi si mmesema maripota wa Kenya sio credible? Au wanakua credible wanapotoa Taarifa mnayotaka kusikia? 😂 😂
 
Subiri nikuunganishie connection zote.
Onyango all comments in Twitter are negative about Tanzania.
And Onyango is a Friend of Jamarlin Martin the owner of Venture company.

Kwahiyo taarifa yako hii ni rubbish.
Na huenda one of you guys ndiye Onyango.

View attachment 1634119
Charles Onyango-Obbo ni Mganda, sio Mkenya. Alafu alichozungumzia kwenye tweet yake hiyo ni ukweli mtupu kwa 100%. Au unataka kutuhadaa kwamba Tundu Lissu hakuenda Ubelgiji baada ya kupewa hifadhi kwenye ubalozi wa Ujerumani na kwamba hakuhojiwa na polisi baada ya uchaguzi? Ila imenifurahisha kuona kwamba mataga mnaiogopa sana nchi ya Kenya na wakenya, hata zaidi ya ukoma. Nyie viumbe lazima kila siku huwa mnaota ndoto mbaya sana, mkiandamwa na kucharazwa viboko na vivuli vya wakenya.
 
1. South Africa - 39,200 millionaires
2. Egypt - 16,700 millionaires
3. Nigeria - 9,900 millionaires
4. Kenya - 8,600 millionaires
5. Morocco - 4,600 millionaires
6. Mauritius - 4,400 millionaires
7. Ethiopia - 3,200 millionaires
8. Angola - 3,200 millionaires
9. Ghana - 2,900 millionaires
10. Ivory Coast - 2,500 millionaires

mnatuona wajinga sana list ya millionaire ipo kwenye Wikipedia tangu lini ivory coast izame kwenye list harafu watu wa kibera slum hawaingii kwenye list wanaoingia ni wamarekani wanaofanya biashara kenya acha upuuzi bwege wewe 🤣🤣🤣😂😂😂💤🦍🦍🦍🦍🦍🦍
 
Wapwa huwa mnajidhalilisha sana na hii tabia yenu ya kupita kuokoteza anything else kutoka kwenye blog uchwara provided humo wameiweka KE juu ya TZ!!!

Anyway, Knight Frank ni taasisi kongwe inayofahamika duniani kote huku ikiwa na ofisi sehemu mbalimbali duniani including East African Office iliyopo Nairobi!!

Knight Frank hawa hapa kuhusu idadi ya watu wenye mkwanja barani Africa (top ten countries):-

Wealth.png

Media kubwa duniani zinazojikita na masuala ya fedha na uwekezaji huwa zinafanya reference zake kwa Knight Frank, kwa mfano, Forbe hapa chini wanasema:-
In part, because China’s economy is still growing. “China is definitely slowing down, but you’re going from double-digit growth to 6.5%,” says Nicholas Holt, head of Asia Pacific research for Knight Frank, the global real estate consultancy.

Wall Street Journal nao huwa wanai-refer Knight Frank
Turns out the color of money really is green.

An international study by Knight Frank, published this week, analyzes the hefty premium buyers are willing to pay for a home adjacent to, or offering views of, a landmark park. The most expensive place to look for a home with a view is London. Knight Frank’s research team found that homes with...

Haya mleta mada, unaweza kuweka hapa credibility ya hicho ki-blog ulichookoteza habari zake na kuzileta JF ili tuone kama takwimu zinaweza kutiliwa maanani?!
 
Huoni hata aibu, ww ndio onyango obbo ukute, Tz itakuueni na pressure nyinyi mbwa
Charles Onyango-Obbo ni mwanahabari mashuhuri kutoka Uganda. Aisee, mbona mna obsession kali hivi na wakenya hata kwenye mambo ya kawaida?
 
Pwahahaha usitufanye watoto sisi.
moguldom.com is the domain registered by Nubai Ventures.
And updated 24/11/2020.

This is the domain information.
View attachment 1634077View attachment 1634078View attachment 1634079View attachment 1634080
so what nn? Case closed hapo, nyinyi mna akili ndogo sn, yn umeokota link bila kuielewa ukaibandika humu ss akili kubwa imekufafanulia na kauzi kako kamefungwa rasmi, hamuwezi ifikia tz kwa idadi ya dollar millionares
 
Wapwa huwa mnajidhalilisha sana na hii tabia yenu ya kupita kuokoteza anything else kutoka kwenye blog uchwara provided humo wameiweka KE juu ya TZ!!!

Anyway, Knight Frank ni taasisi kongwe inayofahamika duniani kote huku ikiwa na ofisi sehemu mbalimbali duniani including East African Office iliyopo Nairobi!!

Knight Frank hawa hapa kuhusu idadi ya watu wenye mkwanja barani Africa (top ten countries):-

Media kubwa duniani zinazojikita na masuala ya fedha na uwekezaji huwa zinafanya reference zake kwa Knight Frank, kwa mfano, Forbe hapa chini wanasema:-

Wall Street Journal nao huwa wanai-refer Knight Frank

Haya mleta mada, unaweza kuweka hapa credibility ya hicho ki-blog ulichookoteza habari zake na kuzileta JF ili tuone kama takwimu zinaweza kutiliwa maanani?!
Mkuu umemaliza kila kitu
 
Based in Nairobi. Wapo wengine, usidhani tunatoa tu hizi accusations from de air.
Kwahivyo kila mtu ambaye yupo 'based in Nairobi' ni mkenya? Hata watanzania pia ambao wapo 'based in Nairobi' ni wakenya? Mnatia huruma na hizi akili zenu mgando za kiujamaa.
 
Whay is he based in Nairobi, bcoz jubilee assured him safety from mu7 under de condition he's a puppet for Nairobi, mbona Gado pia mnamsaka, mpaka akakimbia
 
Why is he based in Nairobi, are you serious? Charles Onyango-Obbo is an Ugandan expartriate working in Nairobi, sio mkimbizi wa kisiasa kama Lema. Wewe unajua idadi ya mashirika na makampuni ya kimataifa, kutoka bara hili na ukanda huu pia ambayo yapo 'based in Nairobi'? Nyie viumbe mnahitaji sana elimu na exposure zaidi, kila uchao level zenu za umbumbumbu zinazidi kupanda kwa kasi.
 
Usituzingue. Funga domo lako.
We are exposing...
 
Wapwa huwa mnajidhalilisha sana na hii tabia yenu ya kupita kuokoteza anything else kutoka kwenye blog uchwara provided humo wameiweka KE juu ya TZ!!!

Anyway, Knight Frank ni taasisi kongwe inayofahamika duniani kote huku ikiwa na ofisi sehemu mbalimbali duniani including East African Office iliyopo Nairobi!!

Knight Frank hawa hapa kuhusu idadi ya watu wenye mkwanja barani Africa (top ten countries):-

Media kubwa duniani zinazojikita na masuala ya fedha na uwekezaji huwa zinafanya reference zake kwa Knight Frank, kwa mfano, Forbe hapa chini wanasema:-

Wall Street Journal nao huwa wanai-refer Knight Frank

Haya mleta mada, unaweza kuweka hapa credibility ya hicho ki-blog ulichookoteza habari zake na kuzileta JF ili tuone kama takwimu zinaweza kutiliwa maanani?!
1. South Africa - 39,200 millionaires
2. Egypt - 16,700 millionaires
3. Nigeria - 9,900 millionaires
4. Kenya - 8,600 millionaires
5. Morocco - 4,600 millionaires
6. Mauritius - 4,400 millionaires
7. Ethiopia - 3,200 millionaires
8. Angola - 3,200 millionaires
9. Ghana - 2,900 millionaires
10. Ivory Coast - 2,500 millionaires

Hehehehe Wakenya kwa mizengwe Tu oooh sisi tunapesa nyingi oooh you know we are richer than You oooh we got $$$ But In reality We have more $Millionares than You
 
Back
Top Bottom