African Beauty

Edward Wanjala

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
8,122
6,427
My Whole life i was thinking that Tanzania had the most beautiful women. What a shock!! Although the topic is quite opinionated, one doing a google search, the results were amazingly surprising!!! Kumbe TZ hamna chochote!!! Kenya Women are more beautiful in general, than Tanzania, how could i have known!!!
14026540_1770642259882260_1764256073_n.jpg
 
WEWE NI MUONGO MPAKA NAKUHURUMIA. ..HAKI YA MUNGU. .
 
Hivi unaongelea Wanawake kwenye videos za wanamuziki au? Halafu sijui unaongelea walio jichubua au waasili.Tembea Tanzania ujionee.Mkuu ISIS kajibu vizuri
 
Nani anawashinda waTZ na WaCongo kwa kujichubua?...hahhaha!...fake people!
 
WEWE NI MUONGO MPAKA NAKUHURUMIA. ..HAKI YA MUNGU. .
Mimi nimewapa links, hata mimi nilikuwa nikiona wanawake wa kichaga nikajua Tanzania ni kuzuri kwa hii sekta, kwa link zote hakuna hata moja inawapa watanzania kupita numbre kumi! Yaani you cant take a number less than 10! Hizo opinion zote wewe unaona ni za uongo!!!? Halafu watanzania pia hujichubua! This can be proved by images below!

17234415488_b439fff0d7_b.jpg

20210022629_5c3e406fff_z.jpg
 
Back
Top Bottom