Africa top 10 in latest World Economic Forum Competitiveness Index

Africa top 10 in latest World Economic Forum Competitiveness Index

Mchaga pori zkili hamna yani unaweza fananisha uchumi wa mkoa na nchi? Uchumi wa anayeiba kwa jirani na anayejitegemea kweli wewe mnyama pori
 
wewe ndio ----! mbona mara nyingi unaenda off topic na tunakumezea? yeye alichosema haujakielewa? haja ongelea mambo ya ECI, alichomaanisha yeye ni kwamba mbona nchi inaendela sana kwa kipimo cha7% lakini nyie Interahamwe hamuishi kuchonga? au ndio ile kawaida yenu ya kutaka kumtimua Cc: MK254

Thread hii inazungumzia competitiveness index. Kama angekuwa yuko serious angeleta position ya Tanzania on this report/index, halafu aonyeshe kama inapanda au inashuka, ili watanzania tujadili hilo. Kuleta topic ya economic growth ni kwenda off topic. Anatakiwa akaanzishe topic hiyo jukwaa husika.
cc: mchaga pori
 
ona sasa! sinilikuambia unataka kumfukuza? eti "ili watanzania turijadili hilo" kwani topic za economic growth haziruhusiwi hapa international forum? huo utanzania wako wa kuchovya lazima utakuwa unawakera waliokupokea nakukupa uraia... kwa nini huwi mkarimu kama walivyo wakarimu kwako?
 
Umeshazoea kwenu ambako mnafanya mambo kibabe kibabe. Hapa JF kuna utaratibu, kila jukwaa lina maana yake, na ndani ya kila jukwaa mtu yuko huru kuanzisha topic yake. Kuingilia thread inayohusu jambo moja na kuchepusha mjadala sio sawa. narudia tena. Masuala ya Tanzania hayatakiwi international forum, na hata kama alikuwa na hoja ya kujadili economic growth ya Rwanda, still bado anatakiwa kuanzisha uzi wake tofauti na huu, huu ni wa economic competitiveness.
 
Back
Top Bottom