Africa top 10 in latest World Economic Forum Competitiveness Index

Like i said, i don't have any problem with the report. Its only my critics who brought me here, thinking i'd automatically challenge the report just because Rwanda is ahead of Tanzania. Second. I don't engage in meaningless exchanges, for example anybody reading our exchange will surely conclude that you are simply too arrogant to admit that you made a mistake in reading my comment(s). Not unusual. And i do not 'wait' for Rwandans, i've already showed you (with proof), that it's them who called me here! On the other hand may be it is you who should wait for the Rwandans so you can cheerlead their posts.

kwa heri and happy sunday to you too.
"them" who? a Kenyan Iconoclastes is the one who invited you! have you tried to know why non-Rwandans are inviting you all the times in debates? simply because you have become a joke jMali! change your ways and you are welcome back home.
 
Kagame ni dikteta, either mzuri au mbaya, fact is ni dikteta anaedhani himself only is eligible of leading rwanda, that is an insult to the people and it later haunts back either the person or the whole nation. Raisi mwenye nia njema kabisa sioni sababu kwann ang'ang'anie madaraka
 
Lakini ukabila mbaya na hatari bado iko Rwanda. Ukiona warwanda wenyewe humu wakiitana haya majina ya kudhalilishana...kama Intarahamwe/chinjachinja.
ah wapi! sasa wewe ukiona hata wageni tena watu wakueleweka wanakuomba uraia kwa ku admire kazi zetu halafu mijitu iliyo kimbia na midamu ije kututungia sheria? hata wasikupe hofu ikiwapo umo ndani ya Rwanda! adui wao wanamuogopa kweli, wao ni kuchonga tu huko nje na kuishia kufanya ujambazi ndani ya DRC na Burundi au kwingineko... lakini Rwanda? thubutu! usiwaone wakipiga kelele huko nje, huku hakuingiliki bila nidhamu au kutubu dhambi zako kama wewe ni Interahamwe.
 
Kagame ni dikteta, either mzuri au mbaya, fact is ni dikteta anaedhani himself only is eligible of leading rwanda, that is an insult to the people and it later haunts back either the person or the whole nation. Raisi mwenye nia njema kabisa sioni sababu kwann ang'ang'anie madaraka
Mheshimiwa Raisi Kagame amebakiza miaka miwili ya muhula wake! sasa hayo ya kung'ang'ania madaraka umeyatoa wapi? ujinga wenu watu kama wewe na uvivu wa kushughulisha vichwa vyenu ndivyo vinavyowafanya muanguke kwenye mitego ya kina jMali na BBC zake...
 
mjinga ni wewe mwananchi wa rwanda usiejua kuwa kuna movements za kutaka kumhalalishia muhula wa tatu. Si tupo wote, tutasikia.
 
nnachojuwa kabakiza miaka miwili, hilo povu sijuwi ni la nini? kabla ya kulopoka, ungesubuli kwanza atutangazie maoni yake...
 
"them" who? a Kenyan Iconoclastes is the one who invited you! have you tried to know why non-Rwandans are inviting you all the times in debates? simply because you have become a joke jMali! change your ways and you are welcome back home.

I see your ubwenge is on fleek today. It was actually Koba who called me out, anybody can prove this you know. Or Koba is nowadays Kenyan?
 
mjinga ni wewe mwananchi wa rwanda usiejua kuwa kuna movements za kutaka kumhalalishia muhula wa tatu. Si tupo wote, tutasikia.

Mkuu unabishana na wanyarwanda wa mbezi beach hao, hawajui lolote juu ya nchi yao.
 
kwa hiyo unataka ni msikilize huyu chizi?

Astakafirulah, acha madharau yako wewe, huyu baba anaweza kukuzaa. Sasa hapo alichoongea kibaya ni kipi mpaka umtukane? Wewe ndio uliyekosa discipline.
 
ila msisahau hayo anayaongelea ni ndani ya Rwanda... talking of freedom of expression in Rwanda?
 
Astakafirulah, acha madharau yako wewe, huyu baba anaweza kukuzaa. Sasa hapo alichoongea kibaya ni kipi mpaka umtukane? Wewe ndio uliyekosa discipline.
kwa nini anataka kutudanganya ya kwamba eti watu wanalazimishwa? kama sio uchizi ni nini? uchizi haungalii miaka wewe... sasa mbona watu walifanya kwa hiari yao, yeye hayo anayoyasema anaushahidi gani kama sio uchizi?
 
yeye anaongea kile alichokiona, wewe unampinga vipi? Hili ndio tatizo lenu nyie watu. Hivi ina maana hata wapinzani wa kagame hawazidi kumi? Au na wenyewe wapinzani wanamtaka Kagame aendelee? The extent of your propaganda yani dah...
 
si ndio uchizi wenyewe... mbona na wengine hatukuviona? lazima atakuwa na tatizo tu! upende usipende...
 
Acheni wivu usiokua na maana,mkiambiwa ukwel mnagoma.watanzania niny vp?uchumi wenu mbovu mnakataaa,kafanye utafiti wako nawe ulete hapa.nchi ipo inakua kiuchumi kwa 7% toka 2005 mpaka leo af jitu linatetea na kuja na kejeli mara we Rwandan mara tafiti fake.nyambaf...
 
Cc: jMali
 
Ndugu, thread haihusiani na ukuaji wa uchumi, hii inahusu global competitiveness rankings za uchumi. Suala lako la ukuaji wa uchumi wa bongo hapa sio mahala pake. Pili, katika hii thread nzima nani kasema hii report ni fake?
 
Cc: jMali

Si nilishakufundisha kutag lakini? Anyway naona umejaribu kunitag, thank you for trying. Nilishaonya mapema kabisa kuwa some people will invent a whole new meaning of this report. Na ndicho kilichofanyika. Economic competitiveness index inageuzwa kuwa economic growth report! Kinachokufanya unitag hapo ni nini? You are simply showing your ignorance just like i predicted, unashangilia achievement ambayo hata huielewi.
 
wewe ndio ----! mbona mara nyingi unaenda off topic na tunakumezea? yeye alichosema haujakielewa? haja ongelea mambo ya ECI, alichomaanisha yeye ni kwamba mbona nchi inaendela sana kwa kipimo cha7% lakini nyie Interahamwe hamuishi kuchonga? au ndio ile kawaida yenu ya kutaka kumtimua Cc: MK254
 
Back
Top Bottom