Unafikiriaje🤔Namimi ni Chawa kweli?
Unafikiriaje🤔Namimi ni Chawa kweli?
Mmechanganya madesa Ndio maana mnapingana.Who believes in this shit?
Zaidi ya asilimia 20 ya wazimbabwe wamekimbia nchi Yao, Leo hii MTU anakuambia wazimbabwe Ni watu wenye furaha?
DRC watu wanateswa na Vita Leo mpuuzi mmoja anakuambia DRC Ni nchi yenye watu wenye furaha.
Za kuambiwa changanya na zako, alisema mstaafu mmoja mwenye akili.
Sisi tuna furaha, kicheko chetu cha furaha, kilio chetu cha furaha.Hivi nyie mnafikiri Furaha ni kucheka eti
Hebu tu define neno 'furaha' kwanza, tusije kutoka povu kumbe maana ya furaha katika haya maudhui hatuyajui.
View attachment 2934504
Tunaposema chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Watanzania wamekuwa na raha lazima tuwe Tunaelezwa,
Tangu uhuru rekodi hii ya furaha kwa Watanzania haijawahi kufikiwa,
#Sasa 2025 tumuache Mama tuende kwa nani?
===
10 happiest countries in Africa based on mental wellbeing
10 happiest countries in Africa according to the ‘Mental State of the World’ reportafrica.businessinsider.comBelow are 10 happiest countries in Africa according to the ‘Mental State of the World’ report:
RankCountry Average MHQ 1 Tanzania 88 2 Nigeria 83 3 Zimbabwe 74 4 Kenya 72 5 Democratic Republic of the Congo 71 6 Mozambique 70 7 Cote d'Ivoire 69 8 Cameroon 67 9 Tunisia 67 10 Angola 64
Sasa ndio umeandika nini hapa?Ndugu,
Tofautisha furaha ya akili na furaha.
Hii report hupima mental states au mental wellbeing za watu.
Furaha hupimwa na report nyingine inaitwa Happiness report. Unaweza ukikuta hapa ya mwaka jana.
Hiyo ya sasa ambayo TZ iko juu inauliza maswali kuhusu afya yako ya akili. Je Una hofu yoyote? Unapata ukichaa wowote? Nk
Happiness report ya 2024 karibu inatoka kwa mwaja 2024.
Furahama maana yake uzwazwaFURAHA! Nini maana ya furaha?
kuna majitu majinga sana yanakaa na kuratibu hizi list fakefake alafu hata hayjui namna ya kupika data sasa !View attachment 2934504
Tunaposema chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Watanzania wamekuwa na raha lazima tuwe Tunaelezwa,
Tangu uhuru rekodi hii ya furaha kwa Watanzania haijawahi kufikiwa,
#Sasa 2025 tumuache Mama tuende kwa nani?
===
10 happiest countries in Africa based on mental wellbeing
10 happiest countries in Africa according to the ‘Mental State of the World’ reportafrica.businessinsider.comBelow are 10 happiest countries in Africa according to the ‘Mental State of the World’ report:
RankCountry Average MHQ 1 Tanzania 88 2 Nigeria 83 3 Zimbabwe 74 4 Kenya 72 5 Democratic Republic of the Congo 71 6 Mozambique 70 7 Cote d'Ivoire 69 8 Cameroon 67 9 Tunisia 67 10 Angola 64
Roho ya kichawi hiiWho believes in this shit?
Zaidi ya asilimia 20 ya wazimbabwe wamekimbia nchi Yao, Leo hii MTU anakuambia wazimbabwe Ni watu wenye furaha?
DRC watu wanateswa na Vita Leo mpuuzi mmoja anakuambia DRC Ni nchi yenye watu wenye furaha.
Za kuambiwa changanya na zako, alisema mstaafu mmoja mwenye akili.
Never speaks their mouths/objectivenessView attachment 2934504