PlanckScale
JF-Expert Member
- Sep 28, 2008
- 550
- 169
You have made my day on this topic....Science tuko nyuma,wao wanategemea science na sisi tunategemea imani,licha ya kwamba wao wanjidai kama miungu watu kwa maana kwamba science ni uwezo wao wa kiungu na sisi ni kuwa na imani tu,Africa tunahitaji mabadilio makubwa sana licha ya kwamba si rahisi kwa kizazi hiki kubadilika moja kwa moja lakini ni lazima tupande mbegu zenye kutengeneza mazingira mazuri for the next generation.
Yaani mwanangu si utani. Huyo muevangelisti alikuja wakati siko nyumbani, basi waifu nae alivyokuwa kichaa akachukua simu zao ili nikirejea awapigie waje niwaweke chini... Mbona walikoma!