Afrika haiwezi endelea sababu haina mifumo ya uongozi bora tofauti na wenzetu. Afrika yeyeto tu anaweza akawa kiongozi hata muhuni tu anaweza akawa kiongozi. Thus kuna madikteta ( zao la ukosefu wa malezi Bora utotoni).
Udikteta ujengwa utotoni afrika awaastudy background ya mtu Ili kujua ni mtu wa aina gani,thus hata muhuni anawezakuwa kiongozi. Wenzetu wapo makini na ufanya vetting ya kutosha kujua Hadi jinsi ulivyolelewa. Lengo kuu ni kuepusha watawala wezi, wauaji,waua uchumi.primitive, uncivilized,nk.