Wakati sisi kwenye ubeti wa Kwanza wa wimbo wetu wa Taifa tukianza na Mungu ibariki Afrika..wako baadhi huanza kwa kuyabariki mataifa yao kwanza.Nimejiuliza na kuwaza sana juu ya upumbavu wetu. Kwanini tunakubali kuwekewa mipaka? Kwanini tunakubali kugawanywa? Kwanini hatushtuki?
Walichokifanya hawa jamaa ni kutugawa kwa mafungu. Tena mafungu yenyewe ni yale ya upendeleo ili wengine wajione bora kuliko wenzao. Lengo la kufanya hivyo ni kujenga majivuno ili iwe ngumu kwa watu wanaojiona matajiri kujiunga na wanaowaona masikini ili wawe wamoja.
Nimejikuta natamani sana kila mwafrika akiimba wimbo wa Afrika Taifa Moja bila kujari yuko kwenye nafasi gani.
Nimejikuta natamani kuiona nguvu ya Afrika
Nimejikuta natamani kuimba wimbo wa Taifa la Afrika
Nimejikuta natamani kuiona sarafu moja ya Afrika
Nimejikuta natamani kuiona tamaduni moja ya Afrika
Hakika ni hamu iliyonijaa kichwani mwangu. Kama ningekua na mamlaka, ningeanza mchakato wa kuandaa masomo maalumu kwa watoto kuanzia chekechekea ya namna ya kuifanya Afrika kuwa nchi moja.
Kataeni dini zao, mfumo wao wa elimu na maisha, vitu vyao kama magari, train, mahotel nk iliturudi kwanza katika enzi za ujimaNimejiuliza na kuwaza sana juu ya upumbavu wetu. Kwanini tunakubali kuwekewa mipaka? Kwanini tunakubali kugawanywa? Kwanini hatushtuki?
Walichokifanya hawa jamaa ni kutugawa kwa mafungu. Tena mafungu yenyewe ni yale ya upendeleo ili wengine wajione bora kuliko wenzao. Lengo la kufanya hivyo ni kujenga majivuno ili iwe ngumu kwa watu wanaojiona matajiri kujiunga na wanaowaona masikini ili wawe wamoja.
Nimejikuta natamani sana kila mwafrika akiimba wimbo wa Afrika Taifa Moja bila kujari yuko kwenye nafasi gani.
Nimejikuta natamani kuiona nguvu ya Afrika
Nimejikuta natamani kuimba wimbo wa Taifa la Afrika
Nimejikuta natamani kuiona sarafu moja ya Afrika
Nimejikuta natamani kuiona tamaduni moja ya Afrika
Hakika ni hamu iliyonijaa kichwani mwangu. Kama ningekua na mamlaka, ningeanza mchakato wa kuandaa masomo maalumu kwa watoto kuanzia chekechekea ya namna ya kuifanya Afrika kuwa nchi moja.
Wewe unadhani wameweka hayo unaita maelimu na mahotel ili wakufaidishe wewe?Kataeni dini zao, mfumo wao wa elimu na maisha, vitu vyao kama magari, train, mahotel nk iliturudi kwanza katika enzi za ujima
Ushasoma elimu yao sasa unawakosoa Waafrika hatakuja kuungana na haitakuja kutokea umaskini ukaishaWewe unadhani wameweka hayo unaita maelimu na mahotel ili wakufaidishe wewe?
Lengo lao ni kukupumbaza kama ulivyopumbazwa na unajiona unastahili kuletewa kila kitu.
Unajua nini kitatokea miaka ijayo???