Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Kenya hii hii iliyodunguliwa ndege yake na Ethiopia wakatulia tuli!
Hehe mafao watu wanapata as soon as they retire leta propaganda nyingineWe have handled it a reason as to why the lockdown has been lifted. Mafao ya wazee imewashinda kwa zaidi ya miaka mitatu, wakulima wa koroshow wanalia kwa pesa zetu za ndani.