Ukweli ni kwamba kukaa uchi sio Dhambi na kuvaa nguo pia ni mwanzo wa matokeo ya mtazamo baada ya Admu na Hawa kula "Tunda"walilokatazwa kwenye kisa cha "bible"wakajiona wako uchi ila kabla ýa hapo walikuwa uchi na hakuna aliyeona haya na mwenzake kitu ambacho leo Jamii za "Nudist" au wakaa uchi pote duniani wamekishinda ni hicho ambacho Adamu na Hawa walikishindwa.