Africa kumbe bado watu wanakaa uchi

Sasa hapo bwana harusi ni yupi?
 
Wanawake wa daslamu mbona nao wanakaa hvo hvo tu mkuu
 
Sasa umepaficha pa nini wakati wao hawajapaficha? Hujawatendea haki kwa kweli!
 
huyo alievaa nguo ni kama vile hawaamini hao majamaa....watampiga mtama
 
Bado uchi au tayari?
angalia sehemu ya ufukoni pale Ujerumani ambako huruhusiwi kuvaa kitu (labda kofia)
 
Umeondoa uhalisia wa habar palipo ukwel ndio umeondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…