Africa ikiwemo Tanzania kwisha kazi, cheki hiki kipande ujionee africa inavyo gawanywa

Indian, Chinese and U.S. companies are among many inking land-investment deals in Africa, including Ethiopia, Tanzania, South Sudan, Mali, and Mozambique. According to a study by the U.S.- based Oakland Institute, foreign investors bought or leased a land area in sub-Saharan Africa about the size of France in 2009 alone.

American universities' trusts (including Harvard's) are also buying up land, reportedly displacing millions of farmers in the process.

Advocates say the land is being taken from indigenous communities by often violent means, and that land rights are handed over without proper contracts after closed-door deals. A lack of regulations in these countries allows foreign firms to purchase or lease large tracts of arable land, leaving little recourse for displaced residents.

Investors claim to be growing food for the global market that will indirectly alleviate food shortages in Africa, but land is very often used to grow non-edible export commodities such as flowers and biofuels.

Defendants of the deals say local farmers who are employed by foreign firms earn more working the land than they otherwise could, and that infrastructure developments (like clean water facilities or improved irrigation systems) are there to help them.

But many of the long-term social and environmental costs are more hard to predict, and critics say the "land grabs" are already causing "
deprivation and destitution" for locals.

Indian author and media commentator Anand Giridharadas will the joining the programme. The Oakland Institute's Executive Director, Anuradha Mittal, will be on the show via Skype along with Christine L. Adamow, Managing Director of Africa BioFuel, a U.S. company invested in farmland in Kenya and
Tanzania.

What do you think? Is Africa being colonised again?
 
WITH the spectre of land-grabbing looming larger and larger across Africa and elsewhere in the developing world, the menace is already full of oddities. In Tanzania, for instance, while ordinary folk pay between Tsh250,000 and Tsh2.5 million to lease one acre of land for a year, investors in so-called 'biofuel' projects can lease the same acre for a measly Tsh700, Business Times has learned!

Lease land in both rural and urban Tanzania is available for up up 99 years.

source business times
Thursday, 08 December 2011 12:44 google kwa habari zaidi
 
huko mbeleni itakuwa ngumu sana kuwatoa, maana hao mashamba yao yatakuwa na umuhimu sana kwa nchi zao, tunweza kufikia hatua hata ya kutishwa kijeshi endapo tutavunja mikataba, au wakaletewa walinzi wa kijeshi toka nchini kwao.
 
Nakasirika sana na hulka yetu watanzania kulalama tu bila kutoa suluhisho....haya wameshagawana land so???toeni suluhisho!!!!ila pia wako wapi vijana wanaoweza aimamua haki na kujituma???na nnakasirika zaidi na hiyo serikali yetu ya majambazi na wanyanganyi wanaoshindwa hata kusupport sera zao wajinga kweli hapo kwenye bio fuel ningesema wananchi wangewezeshwa walime mtama wauze na sio kuwapa hao wazungu ardhi!!inasikitisha kwa nchi Kama Tanzania kuongelea kilimo cha biofuel wakati njaa kila mwaka.......

Mkuu Magee umenena. Kulalamika peke yake hakutoshi.
Natoa pendekezo:
Tutafute takwimu sahihi (wazalendo walioko jikoni watumegee) za ukubwa wa eneo la ardhi ya Tz inayofaa kwa kilimo, asilimia ngapi inamilikiwa na watz, ni asilimia ngapi inamilikiwa na wageni, ni asilimia ngapi iko open. Halafu kwenye katiba mpya tuseme ni asilimia ngapi (maximum) inayoweza kutumika kwa shughuli za uwekezaji wa wageni (hapa nashauri isizidi 10%). Sasa kama mpaka sasa tayari imevuka hiyo asilimia, basi rejeshwe kwa watz hadi kufikia hiyo 10%. Bunge letu likishaazimia hivyo tusijali kama kuna mikataba ya 99, lazima ardhi irejeshwe! Hili lisiwe la hiari wala la ICC. Kama ni vita na tupiganie nchi yetu maana haki haiombwi, inatafutwa. Vita ya pili ya ukombozi ndio hii. Tujiandae!
 
Ukiona mwonevu anaonesha dalili za kukupenda kuwa makini.
Watapora ardhi mikononi mwa viongozi wa kiafrika wasio na haya lakini Afrika will remain for Africans, nikishindwa kuipigania mimi leo, vizazi vijavyo vitaifanya hiyo kazi.
 
Ukiona mwonevu anaonesha dalili za kukupenda kuwa makini.
Watapora ardhi mikononi mwa viongozi wa kiafrika wasio na haya lakini Afrika will remain for Africans, nikishindwa kuipigania mimi leo, vizazi vijavyo vitaifanya hiyo kazi.

Kila la heri mkuu!
Lakini iamini hata chembe yako ndogo ya nguvu uliyonayo katika kuipigania Afrika. Tucheze nafasi yetu vizuri sasa, ndogo lakini muhimu, ili hata hivyo vizazi vijavyo viwe na pa kuanzia!
Mungu wetu anaita!
 
[video=youtube_share;6lFgfFU6084]http://youtu.be/6lFgfFU6084[/video]
 
Back
Top Bottom