Misri haikuwa inashiriki kaka subiri ya mwaka huu uoneNaona kama Michuano hii Siku za karibuni imepoteza Mvuto Sijui shida nini Caf wafanyefanye mambo ile ladha yake irudi.
Nakumbuka ile Fainali 2000 Nigeria Vs Cameroon muda wa Kawaida tokeo 2-2 Nigeria anakuja kufa kwenye Matuta 3-4 Kanu na Ikpepa wanakosa mikwaju yao ile ndo ilikua Fainali Kwa kweli, Daa hata msosi Sikula manake nlikua team Nigeria ila round hii ntawamiss Nigeria
Baada ya Misri ya Shehata kuanza kubeba Kombe ile ya kulifuatilia ikaisha Mpaka Zambia Anakuja kubeba tena chini ya Kina Mweene,Mayuka,Katongo,Sunzu
Ntawapa Shavu Uganda Msimu huu
Mie timu zangu ni:misri,algeria,moroco,tunisia,
all maghreb countries!
wewe muarabu au?Mie timu zangu ni:misri,algeria,moroco,tunisia,
all maghreb countries!
wala,mie ni black ape,tena mweusi tii!wewe muarabu au?
jimmyfoxxgongo ebu nikupangie uone:
a)misri
b)algeria
zilizobaki nashangalia kwa uarabu wao!
ila hzo hapo juu mie ni diehard fan!
Naam captain wao hassan ghaly kina mohamed shaban hao wafereji sio mchezo .Ha haaa Akhui hao jamaa uliyowataja walikuwa ni balaa aise, ni moto wakuotea mbali...bila kuwasahau akina Abou trika, mohd shawki, hossam ashour, ma-defender wael gomaa, sayed mouwad n.k...misry bana ilijaaliwa kwa wachezaji....na ndiyo tim niliyokuwa naipenda sana hapa Afrika.....
Naam captain wao hassan ghaly kina mohamed shaban hao wafereji sio mchezo .
Lakini Egypt toka zama zile za national el ahaly ya ukweli kina mohamed el khateeb kina majid abdulghany walikuwa na fullback rabii yasini black hivi kina hany ramzi golini alikuwa thabeet el batal wacha mchezo .
wewe muarabu au?
Misri haikuwa inashiriki kaka subiri ya mwaka huu uone
Tanzania je?Mie timu zangu ni:misri,algeria,moroco,tunisia,
all maghreb countries!
Du juzi!Nilianza rasmi kuangalia na kujua mpira final ya Senegal sikumbuki na timu gani ila 2002 nadhani, mpaka penalty zilipigwa siku ile. Ndo ukawa mwanzo wangu wa kuwa mshabiki wa Liverpool na Germany.