umezoea ndondo mambo ya kimataifa utayajuaje?Yanga0- sagrada 4.yanga out
Yanga outYanga0- sagrada 4.yanga out
Unaona raha mwenyewe kushikilia hiyo oGooooooooooooooooo! Dah Imegonga Mwamba ile! Duh.
Ha ha ha ha hii Yanga iko njema sana mkuu!Goooooooooooooooooooooooo wamekosa pale
Acha roho mbaya basi hahahaYanga out
Dk 90 itakuwa Yanga 2 Sagrada 135' Mounana 0 - 0 Etoile du Sahel
35' Sagrada Esperanca 0 - 0 Young Africans
Chanel ipi una angalia?Aaah sasa hii tv mbona ina scratch hivi? vipi wenzangu inaonesha poa?
Una presha tokea lini tena? Mechi tunashinda hiiJust be serious mkuu wengine tuna presha Ohooooo..!
Una presha tokea lini tena? Mechi tunashinda hiiJust be serious mkuu wengine tuna presha Ohooooo..!
Usikimbie tu kuleNamna gani pale, Esperanca wamefanya shambulizi moja kali sana...mpaka sasa Ball posession ni 78 kwa 12 za Yanga
Karoge tenaDk 22 Yanga wamefungwa 1-0