Afisa wa TRA mbaroni kwa kuomba rushwa ili asaidie ukwepaji wa kodi

Simcheki mshkaji hata mm niliwahi kula rushwa.... sikudakwa enzi hizo..
ninachoshangaa huyu jamaa ameshindwaje kusoma alama za nyakati.... !!
majira ya sasa sio ya kipupwe ni kiangazi usiku mchana January to December...
Watumishi wa umma badilikeni shauri zenu!!?
Mkuu unamaanisha kua tatizo sio rushwa bali tatizo ni kukamatwa na rushwa?

Inanikumbusha siku za nyuma ambapo ilikua ni kosa kumtia mimba mwanafunzi. Inamaana ukiwa na mahusiano nae kimapenzi hakikisha hapati ujauzito!!!

Inabidi jamii ibadilike na ione rushwa pamoja na kua ni kosa kisheria lakini pia ni kosa la kimaadili na dosari ya kiimani(dhambi kwa Mungu)
 
Dont pretend......
binafsi mm sio mnafiki
 
Wamsamehe tu hatarudia kosa hilo!
Acha anyooshweee wamezoeaaa
Kwanza TRA Sahv watambue wa fanya biashara Sahv hawawaogopi maana wanafanya biashara official
Biashara zenyewe ngumu alafu ww TRA unaenda unataka helaa nyingi kiboyaa

Ova
 
Acha anyooshweee wamezoeaaa
Kwanza TRA Sahv watambue wa fanya biashara Sahv hawawaogopi maana wanafanya biashara official
Biashara zenyewe ngumu alafu ww TRA unaenda unataka helaa nyingi kiboyaa

Ova
7 x70 mkuu!
 
Hivi kweli uniambie kuwa unaenda kuzitafuta nikupe siku 2!!!!! labda ka nimepoteza faham zangu. Alitakiwa amuulize ana kiasi gani taslim hapo alipo na si vingineyo. Wamalizane hapo
 
Yaani sasa hivi huku maofisini tunaogopana. Kila mtu ni mlinzi wa mwenzake. Kuna Rafiki yangu mpaka leo yupo Rumande tokea mwaka jana kisa sasa wale wa chini yake walifanya kosa flani yaani namuonea huruma sana naamini yupo innocent ila kosa lake alipitisha document kumbe kule field hii kazi haikufanyika yeye akapitisha kama imefanyika. Too sad.
Huyo sio innocent kama kweli alifanya ulivyosema.

Kosa lake ni uzembe kazini, uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali.

Siku akitoka atajifunza kutekeleza wajibu wake kwa umakini. Alikuwa analipwa kwa kufanya kazi ambayo hakuifanya siku aliyosaini.
 
Duh!!!
Mazoea.. kinachonishangaza kwanini hawatulii na kuacha haya mazoea. Kuna wenzake wengine wengi tu
 
Kuna siku hao tra walipita mtaani kwangu mbezi,walikamata wafanyabiashara hadi wenye magenge,nilipowaona wamepinda walimkamata carpenter mmoja kwa kukosa leseni,wakamchukulia elfu 70 bila kificho,sasa hao wadada wenye viduka vya nguo,yan ndio wanawakomesha
 
Back
Top Bottom