figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,943
- 63,716
Serikali ya Kongo imeamuru kufukuzwa nchini mwake kwa afisa wa umoja wa Mataifa anayeongoza tume ya haki za binadamu ya umoja huo.Waziri wa mambo ya ndani wa Kongo Richard Muyej amesema afisa huyo, ametishia usalama wa kitaifa na hawezi tena kuendelea kufanya kazi yake nchini Kongo.
Tume ya umoja wa mataifa nchini humo,MONUSCO imesema inasubiri kupokea rasmi msimamo huo wa serikali ya Kongo kabla ya kutoa maoni yake. Hatua hiyo ya serikali ya Kongo imekuja siku moja baada ya umoja wa mataifa kuituhumu polisi ya Kongo kuhusika na mauwaji ya watu 9 na kutoweka kwa wengine 32 mjini Kinshasa wakati wa operesheni ya kupambana na vijana wanaoishi mitaani. MIa
Chanzo😀W