Afisa utumishi wilaya ya Gairo ni jipu

Afisa utumishi wilaya ya Gairo ni jipu

Kisaka80

Senior Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
151
Reaction score
94
Wakuu wana JF,

Juzi tumesoma habari kuwa mkurugenzi wa halamshauri ya wilaya ya Gairo amwaga machozi mbele ya kamati ya Bunge. Lakini alijitetea kuwa yeye ni mgeni katika ile ofisi, na madudu mengi ameyakuta.

Sasa katika pekua pekua toka vyanzo vya ndani imebainikia kuwa AFISA UTUMISHI WA HALMASHAURI NI JIPU KUBWA na linahitaji kutumbuliwa haraka.

Huyu dada anaitwa HALIMA SENDRO,

kwanza ana kiburi, ananyanyasa wafanyakazi walio chini yake, na mbaya zaidi hataki kusaini barua za watumishi hata kwa malipo ambayo yeye au serikali haihusiki moja kwa moja. Ili usainiwe haraka.Kama ni mwanaume lazima utoe kitu kidogo na anajifanya mjuaji,

Mbaya zaidi ana majibu ya dharau sana kwa wanawake wenzake!

Mfano kuna wafanyakazi wana mafaili yao yapo mezani yanahitaji tu sahihi na muhuri wake lakini anajifanya yupo busy.

NAJUA UPO HAPA JF, na huu uzi unausoma, NAKUPA SIKU 5 TU, mafaili yote yanayohitaji sahii yako ili yakaendelee na process nyinginezo yawe yamesainiwa, vinginevyo usije ukanilaumu kwa hatua nitakayoichukua dhidi yako, na hicho kiburi chako utakapotolewa hapo ofisini ndio utakuja kunikumbuka kuwa nilishakupa hii warning mapema.

Otherwise, tusije tukalaumiana kuwa sikukuambia cha kufanya.
 
Acha umbea, kumchongea mwenzako. Kesho ni wewe. Si umeona ya Ntibenda!
 
Maafisa Utumishi wengi dawa yao ipo jikoni. Wengi wataenda na maji akiwemo huyo Halima Sendro
 
Huu msimu wachekaji tutacheka sana, maana vituko ni vingi balaa. Yaani kila kukicha tukio, kama wewe ni mwanaume wa kazi: ni ngumu sana kufanya kazi na wanawake maana wengi wao wanashida sana!!!. Muda wa kutoka yeye utamkuta kaenda toilet na kakioo na poda mara wanja, shida tupu!!!. na hilo tako lake hapo gairo analitingisha ila iweje? au baridi imezidi kipindi hiki?
 
Hahahahaaaa! Baridi ipo haswa mkuu!
 
N heri kujiajir au kuajiriwa private kuliko jikon aiseee inahitaj vidonge vya usingiz ili upate usingz ukiwa usingzn
Watumish serikalin fanyen kaz kwa ajir ya umma na maslai ya umma la sivyo mtaumbukaga hvyo hvyo
Krbn tulambe "Tunda muwasho"
 
Acha umbea, kumchongea mwenzako. Kesho ni wewe. Si umeona ya Ntibenda!

Sio suala la kumchongea mkuu, unajua unapopewa dhamana ya kuwatumikia watu basi wajibika ipasavyo ili hata watu wa chini yako waone kweli huyu mwenzetu yupo kwa ajili ya kuwasaidia watu kwa nafasi aliyopewa, lakini unapoona mtu anapewa nafasi nyeti halafu kusaini tu barua ambayo hata hiyo hela halipi yeye au kutia tu sahihi ili mtu aendelee na taratibu zingine..unakuta bosi anajifanya yeye ndio yeye....sasa kwanini tusimtoe??

Nikupe mfano mimi mkurugenzi mmoja wa wizara alinizingua...nikasema poa, after a week anapokea order kutoka Magogoni kwa katibu mkuu ikimpa order bosi wake (ambaye ni katibu wa wizara) atekeleze suala langu...na ilikuwa kupitisha barua tu basiii....Leo hii yule mkurugenzi kamuulize kama bado tena ni mkurugenzi...au laaa.....

nasema hivi huyu HALIMA SENDRO nampa siku 5 tu afanye kile nilichomueleza vinginevyo tusilaumiane.
 
Mbaya zaid ppf hawatoi ulichochanga, ukitumbuliwa hata mtaji wa pesa kutoka nssf/ppf hupati mpaka uzeeni
 
Alikuepo mmoja wilaya flani ivi alikua mkali i mean mzuri balaa ila inasemekana alikuwa kaungua sasa vijana wageni alikua akiwatongoza ukikataa aisee kazi utaiona ngumu
 
Sio suala la kumchongea mkuu, unajua unapopewa dhamana ya kuwatumikia watu basi wajibika ipasavyo ili hata watu wa chini yako waone kweli huyu mwenzetu yupo kwa ajili ya kuwasaidia watu kwa nafasi aliyopewa, lakini unapoona mtu anapewa nafasi nyeti halafu kusaini tu barua ambayo hata hiyo hela halipi yeye au kutia tu sahihi ili mtu aendelee na taratibu zingine..unakuta bosi anajifanya yeye ndio yeye....sasa kwanini tusimtoe??

Nikupe mfano mimi mkurugenzi mmoja wa wizara alinizingua...nikasema poa, after a week anapokea order kutoka Magogoni kwa katibu mkuu ikimpa order bosi wake (ambaye ni katibu wa wizara) atekeleze suala langu...na ilikuwa kupitisha barua tu basiii....Leo hii yule mkurugenzi kamuulize kama bado tena ni mkurugenzi...au laaa.....

nasema hivi huyu HALIMA SENDRO nampa siku 5 tu afanye kile nilichomueleza vinginevyo tusilaumiane.
Mbona unampiga mkwara ukiwa mafichoni, mkabili umweleze uso kwa uso!
 
Mbaya zaid ppf hawatoi ulichochanga, ukitumbuliwa hata mtaji wa pesa kutoka nssf/ppf hupati mpaka uzeeni

Ndio hivyo mkuu, wengi wanajisahau sana. Sasa nimetoa warning juu yake...watu wanasema napiga majungu.....sasa mimi nataka nione kama yeye ni mbishi na anajiona yeye ndio yeye asubiria nini nitakachoamua kukifanya na kamwe asije kunitafuta pm kunililia lilia kwa sababu muda wa kufanya nililo mwelekeza ni sasa by only 5 working days from kesho asubuhi.
 
Mbona unampiga mkwara ukiwa mafichoni, mkabili umweleze uso kwa uso!

Mkuu nimeshakuleza tabia za muhusika na jinsi anavyojisikia......kikubwa namtahadharisha kwa sababu walikuwepo wenzake tena wenye nafasi za juu zaidi leo hii wanafuga kuku kijijini kwao......nenda kamuulize magesa mulungo, Anne kilango, na wengineo wengi tu......sembuse yeye.....nasema hivi akae mkao wa kula.

Pia nimekupa ushahidi wa mkurugenzi wa wizara nilivyomfanya hadi akaangukia pua kwa ujinga huo huo....sasa huyu kwa kumsaidia nimeamua kumkumbusha na atekeleze wajibu wake sio kutingisha makalio tu....!
 
Wewe unaonekana ni mwoga na hujiamini; kama una madai ya haki dhidi yake si umkabili umweleze haya maneno uso kwa uso kuliko kuja kupiga mkwara hapa? Huo ushahidi unaousema hauna hadhi ya kuwa ushahidi. Mfuate ofisini kesho mweleze haya ana kwa ana kwamba utamfukuzisha kazi kama ulivyowafukuzisha hao unaodai kuwafukuzisha, atakupitishia mambo yako, si yeye anapenda kuendelea na kazi yake!
 
mkuu we mtongoze halafu mpige 0713 mambo yote yatakwisha
 
Huyu bado hajasoma alama za nyakati tu?
Ngoja atumbuliwe kiburi kimuuishe.
Ndiyo tatizo la kupata kazi kupitia mgongo wa mjomba
 
Back
Top Bottom