TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Mkuu kwani imethibitika kama aliyeuawa huko ni Milembe? Em tupe uhakika mkuu?
Ni yeye ameuwawa kweli ila chanzo hakijulikani wamemuuwa kwenye boma lake allokuwa anajenga jana usiku sasa kugundulika mafundi wamegundua asubuhi walivyofika maana unaambiwa jana jioni alienda kuwalipa mafundi na alikuwa amevaa zake dera na ndio hata picha akiuwawa zipo hivyo hivyo na pia ametokq juzi kati kujifungua katoto alikuwa na mimba kubwa tu japo wengine wanadai alikuwa hajajifungua ila mimi nimeambiwa kajifungua mtoto njiti wa miezi 7 na mtoto alikuwa yupo mwanza na yeye huku geita ndio kwao ila sasa yeye Ana mji mwanza hivyo na jana ndio alikuwa ameanza off kwa ajili ya kurudi mwanza ....na pia mafundi wakamwambia boss tupe lift turudi wote town akasema aah nyie tangulieni tu kuna mtu namsubiri ...sasa huyo aliekuwa anasubiriwa ndio hatujui na nasikia kachunwa hadi ngozi usoni japo picha ni amelala kifudifudi
 
Maafisa ugavi kwa mnaowajua si mnajua jinsi walivyokuwa na pesa ndefu,huyu tayari alishakuwa na pesa kwahiyo alikuwa hata na kiburi cha kutokuogopa nguvu ya dola,sasa hapa inaonekana wananchi walishachoshwa wakaamua kuchukua sheria mkononi...
 
Usagaji upo miaka nenda rudi
Na wapo wanaosagana kimya kimya

Ova
Shida ya mashoga na wasagaji ni kujitangaza hadharani na kutaka watoto waige na kusahau kuwa hii ni Tanzania na wanaweka maisha Yao hatarini. Tangu enzi walikuwepo sikuhizi wanataka waonekane vitendo vyao hadharani kuliko hata mahusiano halali hawajionyeshi mubashara
 
Kuna bwana mmoja tajiri pale KWAZULU NATAL South alikuwa anapenda sana wanawake, sio single mama mpaka wajane na wake za watu. Yeye pia alikuwa na mke mzuri sana lakini mke wake alijaa majuto na mateso yanayotokana na tabia za huyo bwana.

Siku moja mke wa huyo bwana aliamua ku-CHEAT na Business partner / Rafiki wa mume wake ambae wanamiliki kampuni yenye thamani ya zaidi ya Billioni kumi ($4,800,000). Baada ya kupata penzi tamu bwana yule alimshawishi yule mke wa partner wake amuue mme wake alafu watagawana share za kampuni yani 50 kwa 50.

Mke aka-organize gang wakaenda kumuua yule jamaa tajiri mpenda wanawake (mme wake). Baada ya wiki mbili business partner akaprleka ushahidi wa mke kumuua mme wake kupitia gang.

Mke akakamatwa na kuhukumiwa kifungo.

Akamkosa mume
Akakosa mali
Na akakosa freedom

Lessons

-Dont be too quick to JUDGE
-Pick your friends wisely
-Think before you act
 
Kwa namna yoyote kutatua changamoto kwa staili hii haikubaliki hata kidogo.
Nchi inaongozwa na Sheria na taratibu zake huu ni Unyama mkubwa sana.
Haikubaliki kabisa naomba Jeshi la polisi lichukue hatua kali sana tena sana kwa wahusika.
Huwezi kuwa na Taifa linalofikiri kwa namna hii.
 
Sa

Sasa kama Msagaji anachepuka na wake za watu na hao wake za watu nao wanasagana si inamaana na hao wake nao ni wasagaji??

Au mimi ndio sielewi??
Africa kuna laana kubwa sana.

Eti analaumiwa msagaji na anaosagana nao hawaangaliwi kabisa.
Kuna wengine wanadanganywa na fedha na kujikuta wameingia kwenye mtego. Trust me. Yaani unakuta mwanamke siyo msagaji, ana watoto na ni mke wa mtu lakini anasomeshwa kwa kishawishi mpaka anaingia kingi. Mwanamke kusagwa siyo lazima na yeye awe msagaji. Ni kama vile unavyokuta mwanaume anavyoweza kudanganyika mpaka akaingia kwenye ushoga. Na wakati mwingine kuna hivi vitoto vya kike, ndiyo vimevunjwa ungo, vile navyo ni rahisi sana kulaghaiwa na wanawake wasagaji.
 
Yaweza kuwa maana walikuwa wakipelekwa mahakamami wanaanza kelele mara kampeni za Kina mange kimambi labda hii ni mbinu nyingine. Na wao si wabanduane kimya kimya kwani lazima kutangaza
Ni kheri wakaacha kabisa.

Walio katika NDOA Hasa wanawake, wakatae kuingiliwa kinyume,

Jambo hili ndilo linalopelekea uharibifu katika JAMII.

Kitanda Cha wanandoa ni shart kiwe kisafi na kiheshimiwe.
 
Ni yeye ameuwawa kweli ila chanzo hakijulikani wamemuuwa kwenye boma lake allokuwa anajenga jana usiku sasa kugundulika mafundi wamegundua asubuhi walivyofika maana unaambiwa jana jioni alienda kuwalipa mafundi na alikuwa amevaa zake dera na ndio hata picha akiuwawa zipo hivyo hivyo na pia ametokq juzi kati kujifungua katoto alikuwa na mimba kubwa tu japo wengine wanadai alikuwa hajajifungua ila mimi nimeambiwa kajifungua mtoto njiti wa miezi 7 na mtoto alikuwa yupo mwanza na yeye huku geita ndio kwao ila sasa yeye Ana mji mwanza hivyo na jana ndio alikuwa ameanza off kwa ajili ya kurudi mwanza ....na pia mafundi wakamwambia boss tupe lift turudi wote town akasema aah nyie tangulieni tu kuna mtu namsubiri ...sasa huyo aliekuwa anasubiriwa ndio hatujui na nasikia kachunwa hadi ngozi usoni japo picha ni amelala kifudifudi
Dah
Kafa kifo cha mateso sana. Inaonekana walimziba pumzi kwanza kwani alishindwa kupiga kelele ili apate msaada wa majirani.
 
Ndo hapo sasa, waingiliaji wana achwa. Ndo wanawaharibu wengine upyaaa.
Kama ndiyo huyo milembe, wadau wanakuambia alikuwa ni mtu wa vurugu akiwa sehemu za matumiz
Kuvimba,ndiyo hiyo unaweza kuta kachukua manzi ya mtu na kebehi juu
Anawatolea
Mfano tu,ukiangalia hyo clip aliyokuwa
Akimvisha dem wake Pete,anasikika akitukana akiwambia zimeni mziki
Anyway pole yake,hii dunia ni uwanja wa fujo

Hata km busara ingetumikaa,
Kudhulumu uhai wa mtu, hii ni mbayaa sanaaa.
 
Huyu msagaji namjua vizuri, alikuwa na crew yake ya wasagaji na mara ya mwisho kumuona alikuwa na harrier nyeusi ila ni muda umepita.

Kitendo cha kukatwa mkono, ni dhahiri ndio anautumia kuwa finger wenzake, itakua ni masuala ya mapenzi.

Na nijuavyo mwanamke akisagwa basi huyo ame left kundi, ni ngumu sana kurudi.

Itakua alichukua vya watu(mwanamke).
 
Back
Top Bottom