Afisa misutu.

Afisa misutu.

Joined
Jan 1, 2012
Posts
38
Reaction score
8
Afisa msitu kafika maporini kukagua misitu, mlinzi akamzuia kuingia.
Afisa misitu akatoa kitambulisho " we ni nani kuniizuia? kwa hiki kitambulisho hakuna atakae nizuia kufanya shughuli zangu hata ka raisi"
Mlinzi akafungua geti na kumpatia njia afisa msitu, mara kidogo jamaa anamuona afisa msitu akifukuzwa na nyuki " mamaaaaa nakufaaaaaaaaa nisaidieni jamani"
Mlinzi akajib : waonyeshe kitambulisho tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom