Hakya nani ningeua huyu mtoto!Katika chuo cha wanyama pori,Mwalimu alitoa mtihani wa mwisho kwa kuweka picha za miguu ya ndege na wanafunzi walitakiwa kuandika jina sahihi la kila ndege kutokana na picha miguu.
Mwanafunzi mkorofi alikagua maswali na kugundua hawezi kujibu hata swali moja.Ndipo alipoamua kupeleka karatasi yake ya kujibia pasina hata kuandika jina lake.
Mwalimu alishtuka kuona jamaa kamaliza maswali 50kwa dk5.Wakati mwanafunzi ameshafika mlangoni ili atoke chumba cha mtihani,Mwalimu aligundua jamaa hajajibu swali hata1 na wala hajaandika jina lake.Ndipo alipomuita"we kijana simama.mbona hujaandika jina?unaitwa nani?"
Mwanafunzi alisimama kidogo na kupandisha suruali ili mwalimu aone miguu huku akisema"angalia miguu utajua jina langu"
kisha akatokomea
Mchina,Mzungu na Mbongo walitaka kuonyeshana ukali wa teknolojia zao Mzungu aliweka earphone wireless akitumia Bluetooth kuckiliza sim na nyimbo Mchina alikuwa ana saa ila inafanya kazi kama simu Mbongo akaumiza kichwa afanyaje ili naye aonyeshe yake!Akaenda chooni,aliporudi akarudi uchi huku amening'iniza toilet paper kwenye ******,wazungu wakaona huyu katuzidi akili,wakamuuliza hii nini? Akawajibu hapa natuma fax

hahaMchina,Mzungu na Mbongo walitaka kuonyeshana ukali wa teknolojia zao Mzungu aliweka earphone wireless akitumia Bluetooth kuckiliza sim na nyimbo Mchina alikuwa ana saa ila inafanya kazi kama simu Mbongo akaumiza kichwa afanyaje ili naye aonyeshe yake!Akaenda chooni,aliporudi akarudi uchi huku amening'iniza toilet paper kwenye ******,wazungu wakaona huyu katuzidi akili,wakamuuliza hii nini? Akawajibu hapa natuma fax
Mchina,Mzungu na Mbongo walitaka kuonyeshana ukali wa teknolojia zao Mzungu aliweka earphone wireless akitumia Bluetooth kuckiliza sim na nyimbo Mchina alikuwa ana saa ila inafanya kazi kama simu Mbongo akaumiza kichwa afanyaje ili naye aonyeshe yake!Akaenda chooni,aliporudi akarudi uchi huku amening'iniza toilet paper kwenye ******,wazungu wakaona huyu katuzidi akili,wakamuuliza hii nini? Akawajibu hapa natuma fax
Afisa misitu kaenda kwenye shamba la miti ya jamaaa kukagua.jamaa akamwambia asiingie sasahiv . Afisa akatoa kitambusho cha kazi." We ni nani wa kunizuia? kwa hiki kitambulisho ,hakuna wa kunizuia nisifanye shughuli zangu!" Jamaa akamfungulia geti.
Baada ya muda jamaa akamuona afisa akifukuzwa na nyuki huku akipiga kelele. "Mama nakufaaa!Nisaidie nyukiiii! wananiuaaa!!!"
Jamaa akamwambia , " WAONYESHE KITAMBULISHO"!!
Katika chuo cha wanyama pori,Mwalimu alitoa mtihani wa mwisho kwa kuweka picha za miguu ya ndege na wanafunzi walitakiwa kuandika jina sahihi la kila ndege kutokana na picha miguu.
Mwanafunzi mkorofi alikagua maswali na kugundua hawezi kujibu hata swali moja.Ndipo alipoamua kupeleka karatasi yake ya kujibia pasina hata kuandika jina lake.
Mwalimu alishtuka kuona jamaa kamaliza maswali 50kwa dk5.Wakati mwanafunzi ameshafika mlangoni ili atoke chumba cha mtihani,Mwalimu aligundua jamaa hajajibu swali hata1 na wala hajaandika jina lake.Ndipo alipomuita"we kijana simama.mbona hujaandika jina?unaitwa nani?"
Mwanafunzi alisimama kidogo na kupandisha suruali ili mwalimu aone miguu huku akisema"angalia miguu utajua jina langu"
kisha akatokomea
Haaa haaaa haaaa!asante mkuu!Afisa misitu kaenda kwenye shamba la miti ya jamaaa kukagua.jamaa akamwambia asiingie sasahiv . Afisa akatoa kitambusho cha kazi." We ni nani wa kunizuia? kwa hiki kitambulisho ,hakuna wa kunizuia nisifanye shughuli zangu!" Jamaa akamfungulia geti.
Baada ya muda jamaa akamuona afisa akifukuzwa na nyuki huku akipiga kelele. "Mama nakufaaa!Nisaidie nyukiiii! wananiuaaa!!!"
Jamaa akamwambia , " WAONYESHE KITAMBULISHO"!!
Haaaa haaaa haaaa,u made my day bro!Mchina,Mzungu na Mbongo walitaka kuonyeshana ukali wa teknolojia zao Mzungu aliweka earphone wireless akitumia Bluetooth kuckiliza sim na nyimbo Mchina alikuwa ana saa ila inafanya kazi kama simu Mbongo akaumiza kichwa afanyaje ili naye aonyeshe yake!Akaenda chooni,aliporudi akarudi uchi huku amening'iniza toilet paper kwenye ******,wazungu wakaona huyu katuzidi akili,wakamuuliza hii nini? Akawajibu hapa natuma fax