Afisa mikopo chuo cha Mwl.Nyerere ni kikwazo

Afisa mikopo chuo cha Mwl.Nyerere ni kikwazo

Kapilipoint

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
381
Reaction score
345
Mh.Waziri wa elimu kwa heshima kubwa tunakuomba ukitembelee chuo cha Mwl.Nyerere kuna matatizo makubwa ya upatikanaji wa huduma kutoka kwa Afisa Mikopo aliyeyopo.

Afisa huyu amekuwa msumbufu sana hufanya kazi atakapo na uongozi wa chuo licha ya kupokea malalamiko uko kimya.
 
Hatuna waziri wa elimu tz, tuna waziri mharibu elimu
 
Mh.Waziri Wa ELIMU Kwa heshima kubwa tunakuomba ukitembelee Chuo cha Mwl.Nyerere kuna matatizo makubwa ya Upatikanaji Wa Huduma kutoka kwa Afisa Mikopo aliyeyopo.Afisa huyu amekuwa msumbufu sana hufanya kazi atakapo na Uongozi Wa Chuo licha ya kupokea malalamiko uko kimya.
maisha sio masiala
 
Back
Top Bottom